LIST AU ORODHA YA TIMU MABINGWA WA TAJI LA LIGI KUU SOKA HISPANIA LA LIGA TOKEA ILIPO ANZISHWA MWAKA 1929 MPAKA HIVI LEO by THE LIST

ORODHA YA UBINGWA  LA LIGA

la-liga

  • Bingwa wa mara ya kwanza:  FC Barcelona (mwaka 1929)
  • Bingwa mara nyingi:  Real madrid (mara 33)
  • Bingwa wa sasa hivi: Real madrid (2016/2017)
  • Idadi ya misimu: Misimu 86
  • Mji ulishinda mataji mengi : Jiji la madrid ( makombe 43)
  • Timu bora zaidi: FC Barcelona ( #1 kidunia  FIFA)
  • Timu yenye mafanikio zaidi: Real madrid (mataji mengi)

Wengi tunaijua sana ligi kuu ya soka hispania na hii ni kutokana na ubora mkubwa sana wa timu na wachezaji waliowahi na wanaocheza kwenye ligi hii bora zaidi kwa kigezo cha mafanikio . Na kama mfuatiliaji mzuri au shabiki wa La liga ni vyema kujua wababe waliowahi kushinda mataji  ligi kuu soka Hispania.

Ifuatayo ni orodha ya mabingwa hao na miaka waliyowahi kushinda bila kusahau .

MSIMU BINGWA
1929 Barcelona FC Barcelona
1929-1930 Athletico bilibao Athletic Bilbao
1930-1931 Athletico bilibao  Athletic Bilbao
1931-1932 Real Madrid  Real Madrid
1932-1933  Real Madrid  Real Madrid
1933-1934  Athletico bilibao  Athletic Bilbao
1934-1935  Real Betis  Real Betis
1935-1936  Athletic Bilbao  Athletic Bilbao
1936-1937  Ligi ilisimama(vita)
1937-1938   Ligi ilisimama(vita)
1938-1939   Ligi ilisimama(vita)
1939-1940  Atlético Aviación  Atlético Madrid
1940-1941   Atlético Aviación  Atlético Madrid
1941-1942  Valencia  Valencia CF
1942-1943   Athletic Bilbao  Athletic Bilbao
1943-1944  Valencia  Valencia CF
1944-1945  Barcelona  FC Barcelona
1945-1946  Sevilla  Sevilla FC
1946-1947 Valencia  Valencia CF
1947-1948  Barcelona  FC Barcelona
1948-1949  Barcelona  FC Barcelona
1949-1950  Atlético Madrid  Atlético Madrid
1950-1951  Atlético Madrid  Atlético Madrid
1951-1952   Barcelona  FC Barcelona
1952-1953   Barcelona  FC Barcelona
1953-1954  Real Madrid  Real Madrid
1954-1955  Real Madrid  Real Madrid
1955-1956  Athletic Bilbao  Athletic Bilbao
1956-1957  Real Madrid  Real Madrid
1957-1958  Real Madrid  Real Madrid
1958-1959  Barcelona  FC Barcelona
1959-1960  Barcelona  FC Barcelona
 1960-1961   Real Madrid
1961-1962   Real Madrid  Real Madrid
1962-1963   Real Madrid  Real Madrid
1963-1964   Real Madrid  Real Madrid
1964-1965   Real Madrid  Real Madrid
1965-1966   Atlético Madrid  Atlético Madrid
1966-1967   Real Madrid  Real Madrid
1967-1968   Real Madrid  Real Madrid
1968-1969   Real Madrid  Real Madrid
1969-1970   Atlético Madrid  Atlético Madrid
1970-1971  Valencia  Valencia CF
1971-1972  Real Madrid  Real Madrid
1972-1973    Atlético Madrid  Atlético Madrid
1973-1974  Barcelona  FC Barcelona

 1974-1975  Real Madrid
1975-1976  Real Madrid  Real Madrid
1976-1977   Atlético Madrid  Atlético Madrid
1977-1978  Real Madrid  Real Madrid
1978-1979  Real Madrid  Real Madrid
1979-1980  Real Madrid  Real Madrid
1980-1981  Real Sociedad  Real Sociedad
1981-1982  Real Sociedad  Real Sociedad
1982-1983  Athletic Bilbao  Athletic Bilbao
1983-1984  Athletic Bilbao  Athletic Bilbao
1984-1985  Barcelona  FC Barcelona
1985-1986   Real Madrid Real Madrid
1986-1987   Real Madrid Real Madrid
1987-1988   Real Madrid  Real Madrid
1988-1989  Real Madrid  Real Madrid
1989-1990  Real Madrid  Real Madrid
1990-1991  Barcelona  FC Barcelona
1991-1992  Barcelona  FC Barcelona
1992-1993  Barcelona  FC Barcelona
1993-1994  Barcelona  FC Barcelona
1994-1995  Real Madrid  Real Madrid
1995-1996 Atlético Madrid  Atlético Madrid
1996-1997  Real Madrid  Real Madrid
1997-1998 Barcelona  FC Barcelona
1998-1999 Barcelona  FC Barcelona
1999-2000 Deportivo La Coruña .Deportivo La Coruña
2000-2001  Real Madrid  Real Madrid
2001-2002 Valencia  Valencia CF
2002-2003  Real Madrid Real Madrid
2003-2004 Valencia  Valencia CF
2004-2005 Barcelona  FC Barcelona
2005-2006 Barcelona  FC Barcelona
2006-2007  Real Madrid Real Madrid
2007-2008  Real Madrid Real Madrid
2008-2009 Barcelona  FC Barcelona
2009-2010 Barcelona  FC Barcelona
2010-2011 Barcelona  FC Barcelona
2011-2012  Real Madrid Real Madrid
2012-2013 Barcelona  FC Barcelona
2013-2014 Atlético Madrid  Atlético Madrid
2014-2015 Barcelona  FC Barcelona
2015-2016 Barcelona  FC Barcelona
2016-2017  Real Madrid Real Madrid

 

 

 

Kwa orodha ya vitu mbalimbali na tofauti tofauti ,Tafadhali tembelea page yetu sasa

www.Nijuzepedia.com/The list

 

 

 

 

 

Proudly sponsored by

©Powered by THE LIST 

Advertisements

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s