ORODHA YA WASHINDI WA TUZO LIGI KUU SOKA HISPANIA LA LIGA MSIMU WA 2016/2017

Hii ndio orodha kamili ya tuzo za LA Liga msimu wa 2016/2017

 

la liga 2017logo LaLiga
 MSHAMBULIAJI BORA & MFUNGAJI BORA MCHEZAJI BORA WA MSIMU King Leo Messi

Lionel Messi

 • Magoli (37)
 • Mchezaji bora wa mwezi  La liga (April)
 • Assist 9 #nafasi ya 6
 • Mshindi wa pichichi (Mara ya 4)
 • Mshambuliaji bora ( Mara ya 7)
 • Winga wa kulia ( kikosi cha LA LIGA 2016/2017)
ALIYETOA PASI NYINGI ZA MAGOLI (GOAL ASSISTS) Image result for SUAREZ iphone 2017Luis Suarez

 • (goal assist 13)
 • Magoli 29 (nafasi ya #2)
 • Mshambuliaji Namba 9 kikosi cha msimu La liga 2016/2017
KIPA BORA oblack.jpg

Jan Oblank ( Atketico de madrid)

 • Kafungwa magoli 21 tu kati ya mechi 29 alizocheza
 • Kipa namba .1 kwenye kikosi cha La Liga 2016/2017
BEKI BORA Image result for SERGIO RAMOS

Segio Ramos

 • Mlinzi bora La liga (mara 4 toka 2008)
 • Kafunga magoli tisa
KOCHA BORA Image result for zidane AS COACH wallpaper

 • Kasaidia kuipa Real madrid taji tangia mara ya mwisho 2012
 • Kaingia Fainali ya mabingwa UEFA
VIUNGO BORA:
 • Toni Kloos (nafasi ya #1)
 • Asier Illarramendi (nafasi ya #2)
 • Bruno Soriano (nafasi ya #3)
KIKOSI BORA CHA MSIMU: powered by THE DREAM 11

LA LIGA 2017 The Dream 11 on O1 SPORTS.jpg

 1. Jan Oblank
 2. Gerald Pique
 3. Felipe Luis
 4. Diego Godin
 5. Sergio Ramos
 6. Asier Illarramendi
 7. Cristiano Ronaldo
 8. Toni Kroos
 9. Luis Suarez
 10. Lionel Messi
 11. Neymar Jr    
 • 4-3-3

kwa substitution na maelezo, maoni au maswali na mengine kuhusu  THE DREAM 11  ya La liga 2016/2017 bofya Hapa

tuzo tutaendelea kukuletea kadri zinavyotolewa hususani usikose kuona orodha ya tuzo za EPL 2016/2017 kwa kubofya hapa 

20170104125940-Banner-Head-Soccer-415x100.jpg

Get this game and so many others right now on Games Arena

Kwa orodha za vitu vingi sana na tofauti tofauti tafadhali tembelea page yetu www.Nijuzepedia.com/The List

 

 

 

Proudly Sponsored by

© 2017 Powered by THE LIST

Advertisements