VIWANJA VITAKAVYOTUMIKA WAKATI WA KOMBE LA DUNIA 2018 NA KOMBE LA MABARA 2017 NCHINI URUSI. PAMOJA NA RATIBA YA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2018 ZITAKAZOCHEZWA KWENYE VIWANJA HIVYO.

Luzhniki StadiumKama ulikuwa hujui wewe mdau na mpenzi wa soka ile michuano mikubwa kabisa ya soka hapa duniani imekaribia kuanza !!!!!!! yaani

Kama kawaida wadau wako wa #01 SPORTS wako tayari kukupatia kila kinachoendelea juu ya maandalizi na kila kitu juu ya michuano hiyo kwa Asilimia 100%.  Na hapa tunaangalia jinsi gani serikali ya Urusi kupitia wizara inayojihusisha na masuala ya michezo inavyohakikisha shughuli nzima ya maandalizi ya viwanja vitakavyotumika kwenye mashindano hayo. yote haya ni katika kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa bini sawia.

Kwa mantiki hiyo vifuatavyo ni viwanja 12 vitakavyotumika katika kipindi kizima cha michuano hii mikubwa kabisa katika ulimwengu wa soka (Kombe la dunia 2018).

fifa wc 2018 stadiums

VIWANJA VYA KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI

FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018
 • Itachezewa kwenye kiwanja cha Luzhinik Jijini Moscow kati ya washindi wa mechi za 61 na 62  (Winner 61 VS Winner 62)
 • Kiwanja kikubwa zaidi
 • Luzhinik stadium (Moscow) Zaidi ya watu elfu 80 000
 • Kiwanjwa kidogo zaidi
 • Kaliningrad Stadium (Kaliningrad)  watu elfu 32 212
 • Idadi ya viwanja vilivyoisha kiujenzi 
Viwanja viwili kati ya 12

 1. Fisht Stadium 
 2. Kazan Arena 
 • Idadi ya viwanjwa ambavyo ujenzi unamalizika muda si mrefu
Viwanja 10 kati ya 12 vitakavyotumika

 1. Luzihinik
 2. Kaliningrad
 3. Spartak
 4. Volgograd
 5. Modorvia Arena
 6. Samara Arena
 7. Rostov Arena
 8. Nizhny Novgorod Stadium
 9. Ekaterinburg Arena
 10.  Saint Petersburg (bado kidogo sana)
Mechi ya ufunguzi itachezwa: Uwanja wa Luzihiniki (Moscow)

 • Mechi kati ya Urusi na Brazil tarehe 14 Juni, 2018 saa 12:00 jioni
Mechi 4 za robo fainali zitachezwa:  

 • Fisht Stadium
 • Kazan Arena
 • Nizhny Novgorod Stadium 
 • Samara Arena
Mechi 2 za nusu fainali zitachezwa:
 • Saint Petersburg Stadium
 • Luzhniki Stadium
Mechi ya kumtafuta mshindi wa tatu Itachezwa kwenye kiwanja cha Piter Arena jijini Saint petersburg  kati ya timu zilizofungwa mechi ya 61 na 62  (Loser 61 VS Loser 62) tarehe 14 Julai 2018 saa 11 Jioni


#1.
 Luzhniki Stadium

 • Luzhniki Stadium is the venue of the final of the 2018 FIFA World Cup
 • Mji: Moscow
 • Uwezo:  watu elfu 81 006
 • Status: Bado kinajengwa
 • Idadi ya mechi:  Mechi 7

  Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

   

 • 14 Juni 2018 saa 12:00 jioni – Urusi vs Brazil – kundi A (mechi ya ufunguzi)
 • 17 Juni 2018 saa 12:00 jioni – F1 vs F2 – kundi F
 • 20 Juni 2018 saa 9:00 alasiri – B1 vs B3 – kundi B
 • 26 Juni 2018 saa 11:00 jioni  – C4 vs C1 – kundi C
 • 1 Julai 2018 saa 11:00 jioni – 1B vs 2A – Round ya 16
 • 11 Julai  2018 saa 3:00 usiku – W59 vs W60 – nusu  Fainali
 • 15 Julai 2018 saa 12:00 jioni  – W61 vs W62 – Fainali

 

 

 

#2. Saint Petersburg stadium (Piter Arena)

 • Saint Petersburg Stadium
 • Mji: Saint Petersburg
 • Uwezo: watu elfu 68 000
 • Status: Bado kinajengwa

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 15 Juni 2018 saa 11:00 jioni – B3 vs B4 – kundi B
 • 19 Juni 2018 saa 3:00 usiku – Russia vs A3 – kundi A
 • 22 Juni 2018 saa9:00 alasiri – E1 vs E3 – kundi E
 • 26 Juni 2018 saa3:00 usiku – D4 vs D1 – kundi D
 • 3 Julai 2018 saa 11:00 jioni – 1F vs 2E – Round ya 16
 • 10 Julai 2018  saa 3:00 usiku – W57 vs W58 – Nusu fainali
 • 14 Julai 2018  saa 11:00 jioni – L61 vs L62Mshindi wa tatu

 

 

 

#3. Fisht Stadium

Fisht Stadium

 • Mji: Sochi
 • Uwezo: watu elfu 47 700
 • Status: Ujenzi tayari (mwaka 2013)

Mechi zitakazochezwa uwanja huu: 

 • 15 Juni 2018 saa 3:00 usiku  – B1 vs B2 – kundi B
 • 18 Juni 2018 saa 12:00 jioni  – G1 vs G2 – kundi G
 • 23 Juni 2018 saa 12:00 jioni – F1 vs F3 – kundi F
 • 26 Juni 2018 saa 11:00 jioni – C2 vs C3 – kundi C
 • 30 Juni 2018 saa 3:00 usiku – 1A vs 2B – Round ya 16
 • 7 Julai 2018 saa 3:00 usiku – W51 vs W52 – Robo Fainali

#4. Ekaterinburg Arena 

Ekaterinburg Arena

 • Mji: Ekaterinburg
 • Uwezo: watu elfu 45,000
 • Status: Bado kinajengwa
 • Idadiya mechi: 

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 15 Juni 2018 saa 11:00 jioni – A3 vs A4 – kundi A
 • 21 Juni 2018 saa 11:00 jioni – C1 vs C3 –kundi C
 • 24 Juni 2018  saa 2:00 usiku – H4 vs H2 – kundi  H
 • 27 Juni 2018 saa 1:00 usiku  – F2 vs F3 – kundi F

 

 

 

#5. Kazan Arena 

 • Kazan Arena
 • Mji: Kazan
 • Uwezo: watu elfu 45 000
 • Status: ujenzi tayari (mwaka 2013)

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 16 Juni 2018 saa 7:00 mchana  – C1 vs C2 – kundi C
 • 20 Juni 2018 saa 3:00 usiku  – B4 vs B2 – kundi B
 • 24 Juni 2018 saa 3:00 usiku – H1 vs H3 – kundi H
 • 27 Juni 2018 saa 11:00 jioni  – F4 vs F1 –kundi F
 • 30 Juni 2018 saa 11:00 jioni – 1C vs 2D – Round ya 16
 • 6 Julai 2018 saa 3:00 usiku – W53 vs W54 – Rob

 

 

 

#6. Nizhny Novgorod Stadium

Nizhny Novgorod Stadium

 • MjiNizhny Novgorod
 • Uwezo: watu elfu 45 000
 • Status: Bado unajengwa 

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 18 Juni 2018 saa 9:00 alasiri  – F3 vs F4 – kundi F
 • 21 Juni 2018 saa 3:00 usiku– D1 vs D3 – kundi D
 • 24 Juni 2018 saa 9:00 alasiri – G4 vs G2 – kundi G
 • 27 Juni 2018 saa 3:00 usiku – E2 vs E3 –  kundi E
 • 1 Julai 2018 saa 3:00 usiku – 1D vs 2C –  Round ya 16
 • 6 Julai  2018 saa 11:00 jioni – W49 vs W50 –Robo fainali

 

 

#7.  Rostov Arena

 • Rostov Arena
 • MJI:  Rostov-on-Don
 • UWEZO:  watu elfu 45,000
 • STATUS:  Bado unajengwa
 • Idadi ya mechi:  Mechi 5

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 17 Juni 2018 saa 3:00 usiku– E1 vs E2 – kundi E
 • 20 Juni 2018 saa 12:00 jioni– A4 vs A2 –kundi A
 • 23 Juni 2018 saa 3:00 usiku– F4 vs F2 –  kundi F
 • 26 Juni 2018 saa 3:00 usiku – D2 vs D3 – kundi  D
 • 2 Julai  2018 saa 3:00 usiku  – 1G vs 2H – Round ya 16

 

 

 

#8. Samara Arena

Samara Arena

 • MJI: Samara
 • UWEZO: watu elfu 45,000
 • STATUS: Bado unajengwa
 • Idadi ya mechi: 

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 17 Juni 2018 16:00 – E3 vs E4 – kundi E
 • 21 Juni 2018 19:00 – C4 vs C2 – kundi C
 • 25 Juni 2018 18:00 – A4 vs Russia – kundi A
 • 28 Juni 2018 18:00 – H2 vs H3 – kundi H
 • 2 Julai 2018 18:00 – 1E vs 2F – Round ya 16
 • 7 Julai 2018 18:00 – W55 vs W56 – Robo Fainali

 

 

 

#9. Mordovia Arena

Mordovia Arena

 • MJI:  Saransk
 • UWEZO:  watu elfu 45,000
 • STATUS:  Bado unajengwa
 • Idadi ya mechi:  Mechi 4

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 16 Juni 2018 saa 1:00 usiku – C3 vs C4 – kundi C
 • 19 Juni 2018 saa 12:00 jioni – H3 vs H4 – kundi H
 • 25 Juni 2018 saa 3:00 usiku – B4 vs B1 – kundi B
 • 28 Juni 2018 saa 3:00 usiku – G2 vs G3 – kundi G

 

 

 

#10. Volgograd Stadium

Volgograd Stadium

 • MJI:  Volgograd
 • UWEZO: watu elfu 45,000
 • STATUS: Bado unajengwa
 • Idadi ya mechi:   Mechi 4

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 18 Juni 2018 saa 3:00 usiku  – G3 vs G4 –kundi G
 • 22 Juni 2018 saa 12:00 jioni  – D4 vs D2 – kundi  D
 • 25 Juni 2018 saa11:00 jioni – A2 vs A3 – kundi A
 • 28 Juni 2018 saa 11:00 jioni  – H4 vs H1 – kundi H

 

 

 

 

#11. Spartak Stadium 

 • Spartak Stadium
 • MJI:  Moscow
 • UWEZO: watu elfu 42 000
 • STATUS:  Bado unajengwa
 • Idadi ya mechi:  

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu:

 • 16 Juni 2018 saa 10:00 jioni – D1 vs D2 – kundi D
 • 19 Juni 2018 saa 9:00 alasiri – H1 vs H2 – kundi H
 • 23 Juni  2018 saa 9:00 alasiri – B1 vs B3 – kundi  B
 • 26 Juni 2018 saa 11:00 jioni  – C4 vs C1 – kundi C
 • 3 Julai 2018 saa 3:00 usiku – 1H vs 2G – Hatua ya 16 bora

 

 

 

 

 

 

 

#12.  Kaliningrad Stadium

Kaliningrad Stadium

 • MJI: Kalinigrad
 • UWEZO: watu elfu  35,212
 • STATUS: Bado unajengwa
 • Idadi ya mechi: Mechi 4

Mechi zitakazochezwa kwenye uwanja huu: 

 • 16 Juni 2018 21:00 – D3 vs D4 – kundi D
 • 22 Juni 2018 s E4 vs E2 – kundi E
 • 25 Juni 2018 20:00 – B2 vs B3 – kundi B
 • 28 Juni2018 20:0o– G4 vs G1 – kundi G

 

 

 

#01 SPORTS siku zote itahakikisha haupitwi na chochote kwenye michezo na kwa kukudhihilishia hili tayari tumekuandalia vitu vizuri zaidi kwako wewe mpenda michezo ikiwemo

 • Ratiba ya kombe la mabara 2017
 • Historia na rekodi mbalimbali za soka
 • Profile za timu na wachezaji wa ligi zote duniani
 • Mieleka WWE
 • MAGEMU YA MICHEZO (SPORTS GAMES)
 • Basketball
 • na vitu vingi sana kuhusiana na michezo

Tafadhali tutembelee leo kwa kubofya www.Nijuzepedia.com/01 sports 

 

 

 

 

Proudly sponsored by

© 2017 Powered by 01 SPORTS

Advertisements