MATOKEO LIGI KUU HISPANIA LA LIGA / Spain La liga results

Gemoji image for :soccer:
laliga_bImage result for soccer ball html code

Baada ya mechi mbalimbali ndani ya moja ya ligi bora zaidi za soka duniani ligi kuu ya soka Hispania ni muda wako wewe mpenzi wa soka kujua matokeo ndani ya LA LIGA . Kama kawaida #01 SPORTS inakuletea matokeo ya La Liga kwa asilimia 100%.

NB: Matokeo haya ni kwa mujibu wa ratiba na mizunguko ya ligi kuu hispania LA LIGA 2016 / 2017

:Mechi zilizochezwa Mei 21, 2017 zilizoamua bingwa wa La Liga msimu wa 2016/2017 hizi hapa na matokeo yake

 1. Barcelona vs Eibar
 2. Malaga vs Real madrid 
 3. Atletico Madrid Vs Athletico Bilibao
 4. Celta vigo Vs Real sociedad
 5. Valencia Vs Villarreal

 

#MECHI NO.1

FC Barcelona logoFC BARCELONA     vs EIbar logo.pngEibar

4

2

 • 63′ Junca(own goal)
 • 73′ L.Suarez
 • 75′ Messi(penati)
 • 90+2′ Messi
              Gemoji image for :soccer
 • 7′ Anui
 • 61′ Anui
 • Ilichezwa: Mei 21,2017
 • Mji: Barcelona
 • Uwanja: Nou Camp
 • Referee: Hernandez
 • Mpira: Nike La liga
 • Mahudhurio:   Mashabiki elfu  74,935

 

 

 

 

 

#MECHI NO. 2

malaga logo.pngMalaga     vs real madrid logoReal madrid

0

2

 

Gemoji image for :soccer
 • 2′ Ronaldo
 • 55′ Benzema
 • Ilichezwa: Mei 21,2017
 • Mji: Malaga
 • Uwanja: Estadio La Rosaleda
 • Referee:  Bengoetxea
 • Mpira: Nike La liga
 • Mahudhurio: Mashabiki 27,850

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.3

atletico madrid logo.pngAtletico Madrid     vs athletico bilibao logo.pngAthletic bilibao

3

1

 • 8′ Torres
 • 11′ Torres
 • 89′ Correa
            Gemoji image for :soccer
 • 71′ williams
 • Ilichezwa: Mei 21, 2017
 • Mji: Madrid
 • Uwanja: Estadio Vicente Calderón
 • Referee: Fernandez
 • Mpira: Nike La Liga
 • Mahudhurio: Mashabiki 52 314

 

 

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.4

CELTA VIGO LOGOCelta vigo     vs real sociedad logo.pngReal sociedad

2

2

 • 54′ Aspas(Penati)
 • 90′Hjulsager
            Gemoji image for :soccer
 • 82′ Oyarzabal
 • 90+4′ Juanimi
 • Ilichezwa: Mei 21,2017
 • Mji: Vigo
 • UwanjaEstadio de Balaídos
 • RefereeSanchez
 • Mpira: Nike La liga
 • Mahudhurio: Mashabiki  Elfu 14,185

 

 

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.5

valencia logoValencia     vs Villareal logo.pngVillarreal

1

3

 • 54′Nani
            Gemoji image for :soccer
 • 1′ Solidado
 • 58′ Trigueros  
 • 88′ Sansone
 • Ilichezwa: Mei 21,2017
 • Mji:  Valencia
 • Uwanja: Estadio de Mestalla
 • Referee: Fernandez Borbalan
 • Mpira: Nike La LiGA
 • Mahudhurio: Mashabiki Elfu 33, 587

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.6

sevilla logo.pngSevilla F.C     vs osasuna logoOsasuna

5

0

 • 10′ Vitolo
 • 20′ Vazquez
 • 35′ Jovetic
 • 60′ Vazquez
 • 80′ Vitolo
            Gemoji image for :soccer

 

 

 

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.7

dep logo.pngDep. La  coruna                      vs las palmas logo.pngLas palmas

3

0

 • 4′ Andone
 • 28′ Andone
 • 39′ Gil
Gemoji image for :soccer
36%
Ball Possession
64%
9
Goal Attempts
13
5
Shots on target
4
3
Shots off target
5
1
Blocked Shots
4
16
Free Kicks
27
0
Corner Kicks
9
2
Offsides
2
25
Fouls
14
0
Red Cards
1
4
Yellow Cards
4
 • Ilichezwa: mei 20 .2017
 • Mji: La coruna
 • uwanja:  Estadio Municipal de Riazor
 • Referee:  Lopez
 • Mpira: Nike La Liga
 • Mahudhurio: mashabiki zaidi ya 21,300

 

 

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.8

 leganes logo.pngLeganes                      vs alaves logo.pngAlaves

1

1

 • 89′ Timor
Gemoji image for :soccer
 • 64′ Krsticic
51%
Ball Possession
49%
15
Goal Attempts
17
4
Shots on targets
5
8
Shots off  targets
11
3
Blocked Shots
1
17
Free Kicks
10
8
Corner Kicks
4
1
Offsides
3
9
Fouls
14
0
Yellow Cards
1
 • Ilichezwa: Mei 20 ,2017
 • Mji: Leganes
 • Uwanja:  Estadio Municipal de Butarque
 • Referee:   Gonzalez
 • Mpira: Nike La Liga
 • Mahudhurio: Mashabiki zaidi ya 10,000

 

 

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.9

gijon logo.pngGijon                      vs betis logo.pngBetis

2

2

 • 7′ Pereira
 • 79′ Carmona
Gemoji image for :soccer
 • 22′ Castro
 • 59′ Castro 
50%
Ball Possession
50%
11
Goal Attempts
21
5
Shots on targets
9
3
Shots off targets
7
3
Blocked Shots
5
15
Free Kicks
19
2
Corner Kicks
3
4
Offsides
1
15
Fouls
14
0
Yellow Cards
2
 • Ilichezwa: Mei 20 ,2017
 • Mji:  Gijon
 • Uwanja:Estadio El Molinón
 • Referee:  Villanueva
 • Mpira: Nike La Liga
 • Mahudhurio: Mashabiki zaidi ya  16,150

 

 

 

 

 

 

 

 

 

#MECHI NO.10

granada logoGranada                      vs espanyol logoEspanyol

1

2

 • 22′ Pereira
Gemoji image for :soccer
 • 3′ Baptistao 
 • 8′ (Own goal) Vezo 
46%
Ball Possession
54%
16
Goal Attempts
5
7
Shots on targets
3
7
Shots off targets
1
2
Blocked Shots
1
8
Free Kicks
14
3
Corner Kicks
3
1
Offsides
1
12
Fouls
9
0
Yellow Cards
3
 • Ilichezwa: Mei 20, 2017
 • Mji:  Granada
 • Uwanja:  Estadio Nuevo Los Cármenes
 • Referee:  Gomez
 • Mpira: Nike La Liga
 • Mahudhurio: Mashabiki zaidi ya 10,500

LIGI KUU HISPANIA MSIMU WA 2016/2017 UMEFIKIA TAMATI MEI 21,2017 KWA Real Madrid KUSITISHA UTAWALA WA MISIMU MIWILI MFULULIZO WA Wazamishanyambizi MAARUFU KAMA Fc Barcelona. Kwa summary nzima ya LIGI KUU LA LIGA 2016/2017 BOFYA HAPA

MWISHO WA LA LIGA PAMOJA NA LIGI MBALIMBALI SIO MWISHO WA UHONDO WA SOKA KWAKO WEWE MPENZI NA SHABIKI WA MICHEZO . KWA KUTAMBUA HILO O1 SPORTS ITAKUWA NAWE KWENYE MFULULIZO WA MATUKIO, HABARI NA VITU VYOTE VINAVYOHUSU MICHEZO IKIWEMO MASHINDANO MAKUBWA KABISA YANAYOTARAJIA KUANZA HIVI PUNDE

 1. KOMBE LA MABARA 2017 URUSI
 2. KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI
 3. NA MENGINEYO

Kwa taarifa zaidi Tafadhali tembelea Page yetu www.Nijuzepedia.com/01 Sports

UFUNGUO:

 • Ball possesion = Asilimia za kumiliki mpira
 • Goal attempts = Idadi ya mashambulizi yaliyolenga lango
 • Shoots on target = Idadi ya mashuti yaliyolenga lango
 • shoots off target = Idadi ya mashuti yaliyoenda nje ya lango
 • Free kicks = Idadi ya mashuti huru kama adhabu
 • Corner kicks = Idadi ya kona
 • Offsides = Idadi ya kuotea
 • Goalkeeper saves = Idadi ya mashambulizi yaliyookoliwa na mlinda mlango
 • Foul =Idadi ya madhambi
 • Red cards = Idadi ya kadi nyekundu
 • Yellow cards =Idadi ya kadi za manjano

Vilevile unaweza kutazama

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Sponsored by O1SPORTS

© 2017 powered by  GoalExpress

Advertisements