search chat play-circle-outline angle-down angle-right angle-left icon-menu

WAFUNGAJI BORA LIGI KUU UFARANSA LIGUE 1 / French League 1 Top scorers

Hapa ni mahali sahihi kabisa kwako wewe mdau na mpenzi wa soka hasa ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama LIGUE 1 kujua wale wafungaji bora wenye idadi kubwa zaidi ya magoli kwenye ligi. Kama kawaida #01 SPORTS inakuhakikishia unapata utakacho kwa Asilimia 100%

cavani

NB: Msimamo huu wa wafungaji bora ligi kuu Ufaransa ni kwa mujibu wa matokeo ya  mizunguko ya Ligue 1 Msimu wa 2016 / 2017 

LIGI KUU UFARANSA MSIMU WA 2016/2017 UMEFIKIA TAMATI KWA TIMU YA MONACO KUSHINDA TAJI LA LIGUE 1 HUU SIO MWISHO WA UHONDO KWAKO WEWE MPENDA SOKA NA MICHEZO MBALIMBALI  KWANI #O1 SPORTS NDIO NYUMBANI KWA MICHEZO YOTE TUTAHAKIKISHA HUPITWI NA LOLOTE. TAFADHALI USIKOSE.

KIDOKEZO ! mashindano ya hivi karibuni

  1. KOMBE LA MABARA 2017 URUSI
  2. KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI

Yote haya ndani ya O1 SPORTS bofya hapa kwenda kwenye page yetu .

Jina   Timu   Magoli  
CAVANI
Cavani
PSG  golden boot 35
Alexan.jpg
Lacazette
Olympique Lyon 28
falcao.jpg
Falcao
AS Monaco 21
gomis-marseille.jpg
Gomis
Olympique Marseille 20
balotel.jpg
Balotelli
 OGC Nice 15
santini.jpgSantini  Caen 15
mounie.jpg
Mounie
Montpellier HSC
14
moukandjo.jpg
Moukandjo
Lorient 13
thauvin.jpgThauvin Olympique Marseille 12
kylian.jpg
Kylian Lottin
AS Monaco 12

USIKOSE KUONA WAFUNGAJI BORA LA LIGA MSIMU WA 2016/2017 KWA KUBOFYA HAPA

lionel_messi_2016_17_wallpaper

 

Vilevile unaweza kutazama 

  • MSIMAMO LIGUE 1
  • RATIBA LIGUE 1
  • MATOKEO LIGUE 1
  • WACHEZAJI BORA WA MWEZI LIGUE 1
  • Msimamo, matokeo, ratiba, wafungaji bora , Soka mubashara“Live matches” za Ligi zote maarufu za soka BofyaHAPA

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

©2017 powered by 01 SPORTS

Advertisements
%d bloggers like this: