search chat play-circle-outline angle-down angle-right angle-left icon-menu

MSIMAMO LIGI KUU UJERUMANI BUNDASLIGA / Germany Bundesliga league Standings

MSIMAMO BUNDASLIGA

Hapa ndio mahali pekee sahihi sana kuhusu Msimamo sahihi wa ligi kuu ya soka  ya Ujerumani Bundasliga kila siku , kila wiki .USIPITWE !!!!!!!!!

NB: MSIMAMO HUU NI KWA MUJIBU WA MATOKEO NA MZUNGUKO YA BUNDASLIGA 2016/2017

LIGI KUU UJERUMANI YAANI BUNDESLIGA MSIMU WA 2016/2017 UMEFIKIA TAMATI NA FC BAYERN MUNICH KUSHINDA TAJI HILO KWA JUMLA YA ALAMA 82

Mwisho wa Ligue 1 2016/2017 haukunyimi uhondo wa soka bado kuna mashindano makubwa na michuano maarufu ya soka Ulimwenguni inayotarajia kuanza hivi karibuni mara baada ya mwisho wa ligi mbalimbali za soka . Kama kawaida #01 SPORTS inakuletea yote yanayohusu mashindano yafuatayo kwa Asilimia 100%.

 1. KOMBE LA DUNIA  FIFA WORLD CUP 2018
 2. KOMBE LA MABARA 2017

Kupata yote na mengine tembelea www.Nijuzepedia.com/01 sports

 

nafasi Timu MP W D L GD Dif. Pts
1Bayern München, Germany Bayern München 34 25 7 2 89:22 67 82
2RB Leipzig, Germany RB Leipzig 34 20 7 7 66:39 27 67
3Borussia Dortmund, Germany Borussia Dortmund 34 18 10 6 72:40 32 64
41899 Hoffenheim, Germany 1899 Hoffenheim 34 16 14 4 64:37 27 62
51. FC Köln, Germany 1. FC Köln 34 12 13 9 51:42 9 49
6Hertha BSC, Germany Hertha BSC 34 15 4 15 43:47 -4 49
7SC Freiburg, Germany SC Freiburg 34 14 6 14 42:60 -18 48
8Werder Bremen, Germany Werder Bremen 34 13 6 15 61:64 -3 45
9Bor. Mönchengladbach, Germany Bor. Mönchengladbach 34 12 9 13 45:49 -4 45
10FC Schalke 04, Germany FC Schalke 04 34 11 10 13 45:40 5 43
11Eintracht Frankfurt, Germany Eintracht Frankfurt 34 11 9 14 36:43 -7 42
12Bayer Leverkusen, Germany Bayer Leverkusen 34 11 8 15 53:55 -2 41
13FC Augsburg, Germany FC Augsburg 34 9 11 14 35:51 -16 38
14Hamburger SV, Germany Hamburger SV 34 10 8 16 33:61 -28 38
151. FSV Mainz 05, Germany 1. FSV Mainz 05 34 10 7 17 44:55 -11 37
16VfL Wolfsburg, Germany VfL Wolfsburg 34 10 7 17 34:52 -18 37
17FC Ingolstadt 04, Germany FC Ingolstadt 04 34 8 8 18 36:57 -21 32
18SV Darmstadt 98, Germany SV Darmstadt 98 34 7 4 23 28:63 -35 25
:Mzunguko wa 34 Bundesliga 2016/2017 na mwisho wa Bundesliga msimu wa 2016/2017

 

UFUNGUO:

 • MP = Idadi ya mechi timu ilizocheza
 • W = Idadi ya mechi timu ilizoshinda
 • D = Idadi ya mechi timu ilizotoa sare
 • L = Idadi ya mechui timu ilizofungwa
 • = Tofauti ya magoli timu iliyofunga na kufungwa
 • PTS = Idadi ya Alama za timu
KEY
 • NAFASI = POSITION
 • TIMU = TEAM
 • MP = MATCH PLAYED
 • W = WIN
 • D = DRAW
 • L = LOSE
 • G = GOAL DIFFERENCE
 • PTS = POINTS

Vilevile unaweza pia kutazama 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

©2017 Powered by 01 SPORTS

Advertisements
%d bloggers like this: