MSIMAMO LIGI KUU UFARANSA LIGUE 1 / France Ligue 1 League Standings

LIGI KUU UFARANSAHapa ndio mahali pekee sahihi sana kuhusu Msimamo sahihi wa ligi kuu ya soka  ya Ufaransa Ligue 1 kila siku kila wiki .USIPITWE !!!!!!!!!

LIGI KUU UFARANSA MAARUFU KAMA LIGUE 1 MSIMU WA 2016/2017 IMEFIKIA TAMATI MEI 20 2017 KWA KUSHUHUDIA TIMU YA MONACO USHINDA TAJI LA LIGI MSIMU HUU KWA ALAMA 95 

Mwisho wa Ligue 1 2016/2017 haukunyimi uhondo wa soka bado kuna mashindano makubwa na michuano maarufu ya soka Ulimwenguni inayotarajia kuanza hivi karibuni mara baada ya mwisho wa ligi mbalimbali za soka . Kama kawaida #01 SPORTS inakuletea yote yanayohusu mashindano yafuatayo kwa Asilimia 100%

  1. KOMBE LA DUNIA  FIFA WORLD CUP 2018
  2. KOMBE LA MABARA 2017

Kupata yote na mengine tembelea www.Nijuzepedia.com/01 sports

NB: MSIMAMO HUU NI KWA MUJIBU WA MATOKEO NA MIZUNGUKO YA LIGUE 1 2016/2017

nafasi Timu MP W D L GD Dif PtS
1AS Monaco AS Monaco 38 30 5 3 107:31 76 95
2Paris Saint-Germain Paris Saint-Germain 38 27 6 5 83:27 56 87
3OGC Nice OGC Nice 38 22 12 4 63:36 27 78
4Olympique Lyonnais Olympique Lyonnais 38 20 5 13 77:48 29 65
5Olympique de Marseille Olympique de Marseille 38 17 11 10 57:41 16 62
6Girondins de Bordeaux Girondins de Bordeaux 38 15 14 9 53:43 10 59
7FC Nantes FC Nantes 38 14 9 15 40:54 -14 51
8AS Saint-Étienne AS Saint-Étienne 38 12 14 12 41:42 -1 50
9Stade Rennais Stade Rennais 38 12 14 12 36:42 -6 50
10EA Guingamp EA Guingamp 38 14 8 16 46:53 -7 50
11Lille OSC Lille OSC 38 13 7 18 40:47 -7 46
12Angers SCO Angers SCO 38 13 7 18 40:49 -9 46
13Toulouse FC Toulouse FC 38 10 14 14 37:41 -4 44
14FC Metz FC Metz 38 11 10 17 39:72 -33 43
15 Montpellier HSC 38 10 9 19 48:66 -18 39
16Dijon FCO Dijon FCO 38 8 13 17 46:58 -12 37
17SM Caen SM Caen 38 10 7 21 36:65 -29 37
18FC Lorient FC Lorient 38 10 6 22 44:70 -26 36
19AS Nancy AS Nancy 38 9 8 21 29:52 -23 35
20SC Bastia SC Bastia 38 8 11 19 29:54 -25 35

Vilevile unaweza pia kutazama 

©2017 Powered by 01 SPORTS

Advertisements