search chat play-circle-outline angle-down angle-right angle-left icon-menu

WAFUNGAJI BORA LIGI KUU HISPANIA LA LIGA / Spain La Liga Top scores

el-clc3a1sico

Hapa ni mahali sahihi sana penye taarifa  sahihi kabisa kuhusu Wafungaji bora wenye idadi kubwa ya magoli ndani ya moja ya ligi bora kabisa duniani Ligi kuu ya Hispania LA LIGA.

Usisahau kitu Baada ya ligi mbalimbali kuisha  #01SPORTS bado iko na wewe  na tayari imeshakuletea tayari ratiba ya Kombe la mabara 2017 pamoja na viwanja na ratiba ya kombe la dunia 2018 Urusi. na mengine mengi sana kuhusu kila aina ya mchezo . Tafadhali Tembelea sasa 01SPORTS  kwa kubofya HAPA

lionel_messi_2016_17_wallpaper

messsiiiiii

NB: Taarifa hizi hapo chini kuhusu wafungaji bora wa La Liga ni kwa muijibu wa matokeo ya mizunguko ya Ligi kuu hispania LA LIGA 2016/2017 

 

 

Ligi kuu hispania La liga msimu wa 2016/2017 ndio umekwisha  baada ya mzunguko  (wa 38) ili kumalizika kwa kukujali we shabiki #01 SPORTS imekuletea summary nzima ya La liga 2016/2017 tokea msimu ulipoanza Agosti 2016 mpaka unapoisha Mei 2017 kupata summary hii bofya HAPA

Nafasi Jina Timu Magoli
1. M,ESSILionel Messi FC Barcelona  FC Barcelona golden boot.jpg37
2. SUAREZLuis Suárez FC Barcelona  FC Barcelona 29
3. ronaldoCristiano Ronaldo Real Madrid  Real Madrid 25
4. Iago AspasIago Aspas Celta Vigo  Celta Vigo 19
5. griezmannAntoine Griezmann Atlético Madrid  Atlético Madrid 16
6. aritz_aduriz_Aduriz Athletic Bilbao  Athletic Bilbao 16
7. MORATAMorata Real Madrid  Real Madrid 15
 8. Related imageSandro Málaga CF  Málaga CF 14
9. NEYMARNeymar Jr FC Barcelona  FC Barcelona 13
 10. MORENOGerard Espanyol Barcelona  Espanyol 13

MSIMU WA LA LIGA 2016/2017 UMEISHA JUMAPILI MEI 21 HII NI SUMMARY FUPI YA MSIMU WA LA LIGA 2016/2017 KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA

la liga 2017

MSN v bbc.jpgLIGI KUU SOKA HISPANIA LA LIGA BBVA 2016/2017 ” Ni msimu wa 86 tokea ligi kuu ya soka nchini Hispania ilipoanzishwa mwaka 1892″

 • Nchi:  Hispania
 • Bara:  Ulaya
 • Ilianzishwa: Jumapili jioni Julai 3, 1892
 • Mdhamini:  Banco Bilibao Vizcaya Argentaria BBVA
 • Idadi ya Timu:  20
 • Idadi ya timu(Uefa):  4
 • Idadi ya timu (Europa):  Zaidi ya 3+
 • Timu zinazoshuka daraja: 3
 • Ubora:  Mkubwa sana #2 Mashabiki / #1 Kimafaniko
 • Timu bora muda wote:  Barcelona ,Real madrid, sevilla & Athletico madrid
 • Bingwa: Real Madrid (mara 33)
 • Bingwa msimu uliopita: FC BARCELONA  (mara 24)
 • Bingwa mara nyingi: Real Madrid (mara 33)
BINGWA real mad

 • Real Madrid (mara 33)
Timu zitakazocheza UEFA msimu wa  2017/2018
 • Barcelona
 • Real Madrid
 • Atlético Madrid
 • Sevilla
Timu zinazoshuka Daraja msimu wa 2016/2017
 • Sporting Gijon
 • Osasuna
 • Granada
Mfungaji bora King Leo MessiLionel Messi
(Magoli 37) KAVUNJA REKODI kwa maelezo zaidi bofya hapa
Timu iliyoshinda mechi nyingi Real madrid (mechi 29)
VIPIGO VIKUBWA
 • BARCELONA 7-1 Osasuna
 • Atlético Madrid 7–1 Granada
 • BARCELONA 6-0 Alaves
Timu iliyofungwa mechi nyingi Granada (mechi 28)
Ushindi mkubwa mfululizo
 • Barcelona (mechi 6)
 • Real madrid (mechi 6)
Timu iliyoweza kutokufungwa mechi nyingi mfululizo
 • BARCELONA (mechi 19)
Timu iliyofunga magoli mengi
 • BARCELONA
Timu iliyofungwa mechi nyingi mfululizo
 • Granada (mechi 7)
Mechi iliyohudhuriwa na mashabiki wengi Watu zaidi ya elfu 98,486

 • Barcelona vs Real madrid tarehe 3 mwezi wa 12 mwaka 2016 uwanjani Nou camp
Mechi iliyohuduriwa na mashabiki wachache zaidi Watu elfu 3,576

 • Eibar Vs Valencia tarehe 27 Agosti 2016 uwanjani Ipurua Municipal Stadium 

Vilevile unaweza Kuona >>>>>>

 • MSIMAMO LA LIGA
 • RATIBA LA LIGA 
 • MATOKEO LA LIGA
 • WACHEZAJI BORA LA LIGA 
 • Msimamo, matokeo, ratiba, wafungaji bora , Soka mubashara“Live matches” za Ligi zote maarufu za soka Bofya HAPA

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Proudly sponsored by

© 2017 powered by 01 SPORTS

Advertisements
%d bloggers like this: