search chat play-circle-outline angle-down angle-right angle-left icon-menu

MSIMAMO LIGI KUU HISPANIA LA LIGA

Hapa ndio mahali pekee sahihi sana kuhusu Msimamo sahihi wa ligi kuu ya soka  ya Hispania kila siku kila wiki na O1 SPORTS  kwa asilimia 100 % . TAFADHARI USIPITWE !!!!!!!!!

real m

MESSIRONALDP

NB: Msimamo hapo chini ni kwa mujibu wa matokeo  ya mizunguko ya  LA LIGA 2016/2017

:Ushindani ulikuwa kati ya Fc Barcelona  na Real madrid wote waliwania ubingwa na tulijua jumapili saa 4:45 usiku baada ya matokeo ya mwisho ya mzunguko wa 38 ambao pia ndio ulikuwa  mwisho na kushuhudia Baada ya Utawala wa FC BARCELONA kwa misimu miwili mfululizo kushindwa kutetea taji lao na kulipoteza kwa mahasimu wao wakubwa vijana wa Santiago Berenabeu  Real Madrid na kuwa bingwa wa La Liga msimu wa 2016/2017 .    Kwa summary nzima ya La liga 2016/2017 bofya Hapa

nafasi
Timu
MP
W
D
L
GF
GA
GD
pts
1Real Madrid, Spain
Real Madrid
38
29
6
3
106
41
65
93
2FC Barcelona, Spain
Barcelona
38
28
6
4
116
37
79
90
3Atlético Madrid, Spain
Atlético Madrid
38
23
9
6
70
27
43
78
4Sevilla FC, Spain
Sevilla
38
21
9
8
69
49
20
72
5Villarreal CF, Spain
Villarreal
38
19
10
9
56
33
23
67
6Real Sociedad, Spain
Real Sociedad
38
19
7
12
59
53
6
64
7Athletic Bilbao, Spain
Athletic Bilbao
38
19
6
13
53
43
10
63
8Espanyol Barcelona, Spain
Espanyol
38
15
11
12
49
50
-1
56
9CD Alavés, Spain
Alavés
38
14
13
11
41
43
-2
55
10SD Eibar, Spain
Eibar
38
15
9
14
56
51
5
54
11Málaga CF, Spain
Málaga
38
12
10
16
49
55
-6
46
12Valencia CF, Spain
Valencia
38
13
7
18
56
65
-9
46
13Celta Vigo, Spain
Celta Vigo
38
13
6
19
53
69
-16
45
14UD Las Palmas, Spain
Las Palmas
38
10
9
19
53
74
-21
39
15Deportivo La Coruña, Spain
Real Betis
38
10
9
19
41
64
-23
39
16Deportivo La Coruña, Spain
Deportivo
38
8
12
18
43
61
-18
36
17CD Leganés, Spain
CD Leganés
38
8
11
19
36
55
-19
35
18Sporting Gijón, Spain
Sporting Gijón
38
7
10
21
42
72
-30
31
19CA Osasuna, Spain
Osasuna
38
4
10
24
40
94
-54
22
20Granada CF, Spain
Granada
38
4
8
26
30
82
-52
20
:mzunguko wa 37-38  la liga 2016/2017

UFUNGUO:

 • MP = Idadi ya mechi timu ilizocheza
 • = Idadi ya mechi timu ilizoshinda
 • D = Idadi ya mechi timu ilizotoa sare
 • L = Idadi ya mechui timu ilizofungwa
 • GD = Tofauti ya magoli timu iliyofunga na kufungwa
 • DIF= Tofauti ya magoli
 • PTS = Idadi ya Alama za timu
KEY:
 • NAFASI = POSITION
 • TIMU = TEAM
 • MP = MATCH PLAYED
 • W = WIN
 • D = DRAW
 • L = LOSE
 • GD = GOAL DIFFERENCE
 • DIF = TOTAL GOAL DIFERENCE
 • PTS = POINTS

 

la liga 2017

MSN v bbc.jpgLIGI KUU SOKA HISPANIA LA LIGA BBVA 2016/2017 ” Ni msimu wa 86 tokea ligi kuu ya soka nchini Hispania ilipoanzishwa mwaka 1892″

 • Nchi:  Hispania
 • Bara:  Ulaya
 • Ilianzishwa: Jumapili jioni Julai 3, 1892
 • Mdhamini:  Banco Bilibao Vizcaya Argentaria BBVA
 • Idadi ya Timu:  20
 • Idadi ya timu(Uefa):  4
 • Idadi ya timu (Europa):  Zaidi ya 3+
 • Timu zinazoshuka daraja: 3
 • Ubora:  Mkubwa sana #2 Mashabiki #1 Kimafaniko
 • Timu bora muda wote:  Barcelona ,Real madrid, sevilla & Athletico madrid
 • Bingwa msimu uliopita: FC BARCELONA  (mara 24)
 • Bingwa mara nyingi: Real Madrid (mara 32)
BINGWA  real madReal madrid (mara ya 33)
Timu zitakazocheza UEFA msimu wa  2017/2018
 • Barcelona
 • Real Madrid
 • Atlético Madrid
 • Sevilla
Timu zinazoshuka Daraja msimu wa 2016/2017
 • Sporting Gijon
 • Osasuna
 • Granada
Mfungaji bora King Leo MessiLionel Messi
(Magoli 37)
Timu iliyoshinda mechi nyingi  Real madrid (mechi 29)
VIPIGO VIKUBWA
 • BARCELONA 7-1 Osasuna
 • Atlético Madrid 7–1 Granada
 • BARCELONA 6-0 Alaves
Timu iliyofungwa mechi nyingi Granada (mechi 27)
Ushindi mkubwa mfululizo
 • Barcelona (mechi 6)
 • Real madrid (mechi 6)
Timu iliyoweza kutokufungwa mechi nyingi mfululizo
 • BARCELONA (mechi 20)
Timu iliyofunga magoli mengi
 • BARCELONA
Timu iliyofungwa mechi nyingi mfululizo
 • Granada (mechi 7)
Mechi iliyohudhuriwa na mashabiki wengi Watu zaidi ya elfu 98,486

 • Barcelona vs Real madrid tarehe 3 mwezi wa 12 mwaka 2016 uwanjani Nou camp
Mechi iliyohuduriwa na mashabiki wachache zaidi Watu elfu 3,576

 • Eibar Vs Valencia tarehe 27 Agosti 2016 uwanjani Ipurua Municipal Stadium 

Vilevile unaweza pia kutazama 

Usikose kuangalia Ratiba, matokeo na wafungaji bila kusahau misimamo ya ligi mbalimbali za soka

bundas

serie-a-2016-wallpapers-1920x1080
ITALIA SERIE A

bundaz

©2017 pow

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

© 2017 powered by 01 SPORTS

Advertisements