AFRIKA YA ENDELEA KUPOROMOKA KATIKA ORODHA YA WATU MAYAJIRI DUNIANI 2017

Orodha ya Mabillionea na nafasi za matajiri Afrika za endelea kushuka kwenye jarida la FORBES 2017, ikiwemo Mabillionea wa Afrika badala ya kushirikisha matajiri 50 kutoka Afrika. Wapo Mabillionea 21 kutoka kwenye orodha hiyo, kwa kuwa jumuisha unapata $ 70 billioni ambayo ni ndogo ukilinganisha na mwaka 2015 ambao jumla ya matajiri 23 ukiwa jumisha kwa pamoja unapata jumla ya kiasi cha billioni $ 79, hiyo pia ilishuka ukilinganisha na mwaka juzi 2014 billionea 28 wa Afrika.

Mnaigeria Aliko Dangote wa Cement tycoon ameendelea kubaki mtu tajiri Afrika kwa takriban miaka sita sasa na anakadiriwa kuwa na utajiri wa $12.1 billioni, japokuwa amepoteza $5 billioni kwa mwaka wa pili. Dangote amejiunga na Mabillionea wanigeria wawili ndani ya huu mwaka – telecom tycoon Mike Adenuga ambaye ana shikiria namba tatu ya mtu tajiri Afrka anakadiriwa kuwa na utajiri wa $5.8 billioni na billionea mwengine wa mafuta mwanamama Folorusho Alakija ambaye anakadiriwa kuwa na utajiri wa $1.6 billioni.

 Afrika kusini imeendelea kutawala katika orodha hii ya watu matajiri Afrika. Wakati nchi ikiwa imefungana na Misri kwa kiasi kikubwa cha namba kwa utajiri wa mtu binafsi, mabillionea sita wa Afrika ya kusini kwa pamoja wana kipato cha $22.7 billioni – $7 billioni kuzidi mabillionea na tajiri wa pili wa bara ni diamond magnate Nicky Oppenheimer, ambae alichukua kidogo uwakilishi baada ya kuuza hisa ya familia ambazo ni diamond giant De Beers kwa Anglo America dau la $5.1 billion fedha taslim mwaka 2012. Tycoon Johann Rupert wa luxury goods ( bidhaa za anasa ) na Christoffel Wiese wa retail magnate wamefungana kuwa matajiri wa pili wa Afrika ya kusini na kushika nafasi ya nne matajiri Afrika kila mmoja akiwa na utajiri wa $7.5 billion.

Tajiri wa Misri billionea Nassef Sawiris ambaye anakadiriwa kuwa na utajiri wa $5.3 billion ameongeza $400 million toka November 2015. Sawiris amekuwa OCL, moja kati ya matajiri wakubwa ulimwenguni wa Nitrogen Fertilizers. Tajiri mwengine ni kaka yake Naguib Sawiris ambae utajir wake umeongezeka $700 na anakadiriwa kuwa na $3.7 billion. December 2016 Naguib Sawiris alitambulishwa kama CEO wa telecom company,orasom Telecom Media & Technology.

Jarida FORBES lina orodha ya mabillionea wawili wanawake Afrika: Angola Isabel dos Santos mwanamke tajiri Afrika ana $3.2 billion na Alakija ni makamu mwenyekiti wa kampuni uchunguzi wa mafuta, Famfa Oil.


Mohammed Dewji mtanzania mwenye umri wa miaka 41 ndio tajiri kijana kwa sasa Afrika.Ni CEO wa kampuni ya METL ambayo ilianzishwa na baba yake mwaka 1970’s. Onsi Sawiris wa Misri miaka 80 ni billionea mkongwe na baba wa watoto wawili ambao ni Nassef na Naguib Sawiris.

Billionea 13 kati ya 21 wana utajiri wao wenyewee (self made fortunes) lakini hao 8 walio baki utajiri wao ni wau rithi. Mabillionea 21 wanatokea katika nchi saba tofauti; Afrika ya kusini, Misri, Nigeria,Morroco (ambao wana matajiri wa tatu wa tatu), Algeria (mmoja), Angola (mmoja) na Tanzania (mmoja).

Advertisements

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s