BONGO 5 Tanzania and East African music websites…Tovuti za muziki Tanzania na Afrika mashariki

MAKAO MAKUU: Dar es salaam
NCHI: Tanzania
MMILIKI:

 

Bongo 5 Media group
ILIANZISHWA: Mwaka 2006
LENGO:

 

 

 

 

 

 

 

Kuhabarisha umma wa watanzania kuhusu matukio mbalimbali ya kila siku

  • Muziki
  • Siasa
  • Jamii
  • Na habari nyingine nyingi sana
ENEO LENGWA: Tanzania
STATUS: Haina malipo  100%
KAULI MBIU: “Usipitwe na Pata habari zote za town”
Tovuti: www.Bongo 5.com

 

 

Hii ni tovuti inayokuwezesha wewe Mkazi wa Tanzania kupata habari na matukio yanayojiri kwa siku husika huku yakiwemo masuala ya burudani ikishuhudiwa wazi tovuti hii ya siku nyingi na yenye uzoefu ikiwa inapendelea sana kuandika habari za wanamuziki na kazi zao pamoja na matukio yanayoyowahusu wao wanasanaa wa Tanzania.

Kwa habari na matukio ya uhakika ya kila siku nchini Tanzania ikiwemo muziki basi www.BONGO5.com inaweza kukutimizia haja yako.

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s