YINGA BOY MEDIA Tanzania & East African music websites…Tovuti za muziki Tanzania & Afrika Mashariki

THE STREET BOARD IMEKUJALI WEWE SHABIKIB WA MZIKI WA BONGO FLEVA KWA KUKULETEA TOP 10+ YA NYIMBO KALI NA MAARUFU KWA HIVI SASA NDANI YA BONGO FLEVA KUZIONA BOFYA HAPA

 

MAKAO MAKUU: Mbeya
NCHI: Tanzania
MMILIKI: YINGA BOY MEDIA
ILIANZISWHA: Mwaka 2014
ENEO LENGWA: Tanzania
LENGO:

 

 

 

 

 

 

  • Update ya nyimbo mpya
  • Bongo flava [old & new]
  • mziki wa injili
  • mziki wa kihindi
  • Dj mix
  • Movies
  • Videos
  • Habari kuhusu wasanii
KAULI MBIU :

 

  • Music is LIFE” [kabla ya 2017]
  • ENJOY YOUR DAY” [2017]
Designer wa tovuti :

 

Yatosha web services
Tovuti/ website 

 

www.Yingamedia.com

 

Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake jijini Mbeya chini ya usimamizi wa YINGA BOY MEDIA . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, Filamu pamoja na filamu. Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea  www.Yingamedia.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu.

Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao.

Kwa ufupi kabisa hiyo  ndiyo  www.Yingamedia.com Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

 

 

 

 

 

 

 

 

cropped-inshot_20170315_211403-e1490225839792.jpg

Powered by THE STREET BOARD

© 2017 www.Nijuzepedia.com