WASAFI.COM East African music websites… tovuti za muziki Afrika Mashariki


​ 

MAKAO MAKUU: Dar es salaam
NCHI: Tanzania
MMILIKI : WCB Entertainment Inc
IMEANZISHWA: Mwaka 2017
STATUS:  Paid (unanunua) 
GHARAMA: Tsh 300/= tu kwa nyimbo
LENGO : kukupa nafasi ya kuinua kipato cha wanamziki unaowapenda kwa kununua nyimbo zao
KAULI MBIU:

 

 

 

  • where hits belong” (Mahali palipo na nyimbo nzuri zinazovuma
Tovuti: www.WASAFI.com

 

WASAFI. COM ndio tovuti pekee ya muziki Afrika mashariki inayouza nyimbo za wasanii kwa gharama ya ndogo kabisa ya shilingi za KiTanzania mia tatu tu Tsh 300/=.  IlianzishwaMarch 2017 jijini Dar es salaam mji yalipo makao makuu ya Wcb  na mwanamziki mahili na maarufu sana kutoka nchini Tanzania Diamond Platinumz  ambaye pia ndio mmiliki wa kikindi cha muziki cha Wasafi classic babe maarufu kama  WCB.

Lengo la tovuti hii ni kuwainua wasanii kiuchumi na kuepusha wizi wa kazi za wasanii .

Ukiingia   www.WASAFI.com  utapata nyimbo zote kuanzia zile mpya mpaka zile za zamani za wasanii uwapendao wa Afrika.

 

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s