TOP 10 MAGOROFA MAREFU ZAIDI AFRIKA MOJA WAPO LINAPATIKANA AFRIKA MASHARIKI NCHINI TANZANIA. 

Je wajua Usanifu, mita nyingi kwenda juu,umaarufu,  pamoja na upekee wa jengo husika hufanya ghorofa husika  kuzingumziwa sana ?!

Licha ya hayo yote urefu na idadi ya ghorofa kwenye jengo husika hufanya jengo husika kati ya haya yaliyopo kwenye orodha hii kuwa  kati ya magorofa marefu zaidi Afrika,

Tanzania ndio nchi pekee inayotoka ukanda wa Afrika Mashariki iliyo ingia katika orodha hiyo. Baada ya bara la Afrika kukua kiuchumi imekua ni chanzo kikubwa kwa cha kukuza miundombinu na utoaji wa huduma za kijamii. Hivyo basi hii ni kati ya orodha ya magorofa 10 bora marefu zaidi Afrika kama ifuatavyo;

 

 

 

 

#10.

88 on field

NCHI Afrika kusini

MJI:  Durban

UREFU146.5m & 481ft

IDADI YA GHOROFA 26

LILIFUNGULIWA:   Mwaka 1985

 

 

 

 

Usishangae kuona majengo marefu kusikia yapo Afrika. Jengo hili lilisanifiwa na wahandisi wenye ujuzi  wa hali ya juu na hili linadhihilika kwa Umri mkubwa wa jengo hili liliopo nchini Afrika kusini.

Hakika jengo hili ni refu na likiwa ni moja ya majengo marefu zaidi nchini humo. Jengo hili linatumika kwa shughuli mbalimbali zikiwemo biashara, mikutano na kadhalika.  Si rahisi kujenga jengo refu kama hili tena lililodumu likizidi kuaminiwa kiusalama na masuala mengine mengi. Jengo hili ni refu na maarufu pia kiasi cha kujihakikishia nafasi kwenye listi hii.

 

 


#9.

MetLife center

 

NCHI:  Afrika kusini

MJI:    Cape Town

UREFU:    95m & Antenna spire 119.5m

IDADI YA GHOROFA 28

“Met Life center” kwa wale waliofika Jijini Cape Town bila shaka mnalifahamu sana jengo hili  au mnajua uwepo wa jengo hili ambalo huvutia kwa macho na maarufu sana katika viunga vya moja ya majiji mazuri Afrika Jiji la Cape town.

Jengo hili ni lefu na limesanifiwa kwa namna nzuri na ya kitaalamu.

Lipo cape town wakazi wa jiji hili hasa wenyeji hujivunia sana uwepo wa jengo hili maarufu na linalosifika na wahandisi,wafanyabiashara pamoja na wananchi wa kawaida nchini Afrika kusini .

 

 

#8.

South Africa Reserve Bank Building

 

NCHI Afrika kusini

MJI Pretoria

UREFU 150m & 490ft

IDADI YA GHOROFA:   38

LILIFUNGULIWA Mwaka 1988

 

 

Hili ndilo jengo lefu zaidi jijini Pretoria nchini Afrika kusini.  Kiukweli jengo hili  linao urefu mkubwa na wa kutosha kulifanya lionekane la pekee jijini pretoria.

Licha ya kuwa la muda mrefu bado hakuna kampuni iliyojenga jengo lenye urefu mkubwa kuliko  jengo hili ndani ya moja ya majiji makubwa nchini Afrika kusini.

Jengo hili ni moja ya majengo mengi yanayodhirisha maendeleo makubwa ya kimji kwenye jiji hili la kiserikali nchini Afrika kusini. Ghorofa hili ni moja ya vitu vinavyotambulisha jiji hili.

 

 

#7. Pearl Daw

NCHI:  Afrika kusini

MJI:  Durban

UREFU 152m & 499ft

IDADI YA GHOROFA 31

LILIFUNGULIWA:  Mwaka 2010

 

 

 

Nchi ya Afrika kusini ndio yenye maghorofa mengi  na marefu zaidi kuliko  nchi zingine barani Afrika.

Jengo la Pearl Daw  linadhilisha ukweli huo. Likiwa katika viunga vya jiji zuri na maarufu nchini Afrika kusini jiji la Durban. Urefu wa kuridhisha hufanya jengo hili kuingia kwenye orodha ya majengo marefu zaidi barani Afrika.

Mwonekano mzuri wa jengo hili na majengo mengine ya jirani hufanya mtaa yalipo majengo  hili kuoneka

 

 

#6.

Marble Tower

NCHI:  Afrika kusini

MJI Johannesburg

UREFU152m & 499ft

IDADI YA GHOROFA 32

LILIFUNGULIWA:  Mwaka 1973

Afrika kusini imepata maendeleo toka zamani jambo hili linadhihilika kwenye jambo hili la kuwa nchi yenye majengo mengi na maarufu sana barani Afrika.

Marble Tower Ni jengo refu lenye  umaarufu wa aina yake barani Afrika  licha ya kuwa la muda mrefu  bado limezidi kuwa kati ya majengo marefu zaidi barani Afrika na nchini Afrika Kusini.

 

 

 

 

#5.

PSPF Commercial Towers

NCHI:  Tanzania

MJI:  Dar es salaam

UREFU 152.7m & 501 ft 

IDADI YA GHOROFA:  35

LIFUNGULIWA: mwaka 2014

 

 

Hili ndilo jengo refu zaidi kuliko mengine yote  Afrika Mashariki na kati.  Likiwa ni moja ya majengo mapya barani Afrika hakika jengo hili lipo kwenye ubora na urefu unaostahili.

Lipo katikati ya vitongoji vya jiji la tatu kwa ukuaji wa kasi barani Afrika jiji la Dar es salaam.

Usanifu na urefu wa kutosha hulifanya jengo hili kuwakilisha vyema ukanda wa Afrika Mashariki kwenye orodha hii. Bado ni jengo jipya na la kisasa zaidi,  kwa wale waliofika jijini hapo wanalijua jengo hili pacha.

 

 

 

 

#4.

NECOM House

NCHI: Nigeria

MJI: Lagos

UREFU:160m & 520ft

IDADI YA GHOROFA: 32

KUFUNGULIWA: Mwaka 1979

 

 

 

 

 

#3.

Ponte City Apartments

 

NCHI: Afrika kusini

MJI:  Johannesburg

UREFU: 223m & 732ft

IDADI YA GHOROFA:  50

KUFUNGULIWA: mwaka 1973

 

 

 

 

#2.

Hassan II Mosque au Grande Mosque

NCHI: Morocco

MJICasablanca

UREFU210m & 690ft

IDADI YA GHOROFA: 48

KUFUNGULIWA: mwaka 1993

 

 

 

 

#1.

Carton Center

NCHI: Afrika kusini

MJI: Johannersburg

UREFU223m & 732ft

IDADI YA GHOROFA:  50

KUFUNGULIWA: mwaka 1973

Advertisements

Comments

4 comments on “TOP 10 MAGOROFA MAREFU ZAIDI AFRIKA MOJA WAPO LINAPATIKANA AFRIKA MASHARIKI NCHINI TANZANIA. ”
 1. I’d like to find out more? I’d care to find out more details.

  Like

  1. YOU GOTTA LOOKIN’ N GET EM ALL DETAILS BOUT IT

   Like

 2. Pedro Felipe says:

  Como emagrecer rápido e com saúde com a dieta paleo.

  Like

 3. We’re a group of volunteers and starting a new scheme in our community.

  Your web site offered us with valuable information to work on. You’ve done an impressive job and our whole community will
  be grateful to you.

  Like

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s