TOP 10 MASOMO YA KUSOMA YENYE FURSA KUBWA AU UWANDA MPANA WA AJIRA AFRIKA MASHARIKI

Elimu ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili ,tabia aka uwezo wa mtu.Hivyo basi kila mtu anasoma kwa malengo yake binafsi,kwani kuna baadhi ya watu wanasoma /wanqtafuta elimu kwa ajili ya kujiajili wao wenyewe lakini zaidi ya 80% wanasoma kwa mantiki ya kuajiriwa.Hivyo  yakupasa ujue masomo yenye fursa kubwa ya ajira kama ifuatavyo

#TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO

Elimu hii inahusu utafiti,urasimu,uendeshaji,utekelezaji,usaidizi au usimamizi wa mifumo ya habari hasa ala za program na vifaa vya kompyuta. Kwa mwenye kusomea elimu hii ana nafasi kubwa katika kupata ajira.

#9.KILIMO

Hii ni elimu inayojumuisha mifumo ya uzalishaji mimea,ufugaji wa wanyama na uvuvi wa samaki.katika elimu hii watu wengi hufaidika kutokana na ujuzi wao ambao huweza kuelimisha wakulima wadogowadogo na wao pia kujipatia faida kubwa.

#8.SAYANSI YA JAMII

Hii ni sayansi iliyoungana takribani vitu vinne navyo ni Elimu,saikolojia,Siasa,Arkiolojia.Hivyo basi sayansi ya jamii ni somo kuhusu jamii za kibinadamu ambayo hutumia mbinu mbalimbali za uchunguzi kwa kupima ili kutengeneza na kusafisha mwili wa maarifa na nadharia ambayo huwa na lengo LA kusaidia jamii.

#7.BIASHARA

Elimu hii inahusu ufanyaji wa shughuli yeyote kwa lengo la kupata faida.Hivyo elimu kuhusu biashara ina nafasi pana zaidi katika ajira kwa kua biashara ndio shughuli ifanywayo zaidi na watu wengi ama makampuni makubwa Hivyo aliesomea huweza ajiriwa kwa urahisi kwa lengo la kupanua biashara.

#6.SAYANSI YA KOMPYUTA (TEHAMA)


Kutokana maendeleo ya kiteknolojia elimu ya kompyuta imekua na nafasi kubwa mno katika ajira na watu wengi wamekua wakifikili kua elimu hii ni kwa ajili ya wanaume pekee  lakini ukweli ni kwamba watu wote wanausawa katika kupata elimu hii na vilevile elimu hii ina nafasi kubwa ya ajira nchini na maeneo mengine kwa ujumla.

#5.UALIMU

Hii ni fani inayohusu ufundishaji wa elimu Fulani ama maarifa kwa mtu mwengine.elimu hii nafasi yake katika kupata ajira ni pana mno kwenye serikali mama sekta binafsi.

#04.SHERIA

Sheria ni masharti yawekwayo katika nchi ama sehemu yeyote ili kutoa mwongozo wa jinsi ya kufanya mambo kwa usahihi .sheria inaweza kusababisha kwa kiasi kikubwa kujiajiri ama kuajiriwa kwa kua mtu asomae sheria huwa na chaguo binafsi la kuajiriwa ama kujiajiri.

#03.UHANDISI


Ni utumiaji wa elimu na kanuni za sayansi na mahesabu katika kutatua matatizo ya kiutendaji ,uumbaji wa vifaa,ufasaha na miundo iliyo muhimu kwa matumizi ya watu .

Elimu hii imegawanyika katika makundi mbalimbali na imekua na uhitaji mkubwa kwa jamii katika kusanifu majengo mbalimbali na vitu vingine na malipo yake pia ni makubwa na yenye faida ndani yake

#02.UCHUMI


Kimaana ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kuyosheleza mahitaji yao hasa uzalishaji usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali.

Wanauchumi huwa na fursa kubwa ya kupata ajira sehemu yeyote duniani kwa mantiki ya kuweza kuongeza au kupanga matumizi ya fedha.

#01.UDAKTARI

Na hii ndio fani ambayo inayoongoza kwa kutoa ajira nchini na duniani kote kiujumla na pia ndio elimu ambayo unaweza lipwa malipo makubwa mno kuliko ajira yoyote ile.

Advertisements

Comments

12 comments on “TOP 10 MASOMO YA KUSOMA YENYE FURSA KUBWA AU UWANDA MPANA WA AJIRA AFRIKA MASHARIKI”
 1. Ralf says:

  This is a very good suggestions particularly to those new to blogosphere, short and exact advice…

  Thanks for sharing this one. A must read article.

  Liked by 1 person

  1. Givin’ ya five stars ratin’ Ain’t bad thing atall ! thank ya soo much! n we gon’ makin sure that we bring good things for ya FAMO !

   Sender: Nicole Jr.
   From: Nijuzepedia.com

   Like

 2. Christina says:

  Thanks for the outstanding advice, it really is useful.

  Liked by 1 person

  1. THUMBS UP CHERRY !REALLY APPRECIATING WHATCHU SAYIN’ !

   Like

 3. Polly says:

  Thanks for the outstanding advice, it really is useful.

  Liked by 1 person

  1. THANK YA SO MUCH FRIEND ! I KNOW IF YA GON’ KEEP SUPPORTIN’ IT ! WE GON’ BE ON THE TOP !

   Liked by 1 person

 4. Celia says:

  Way cool, some valid points! I appreciate you making
  this article available, the remainder of the site is also high quality.
  Have a fun.

  Like

  1. Thank ya lotta Celia ! whut we lookina forward is makin’ sure that we Ai’t stoppin’ ‘pending on other especially some informations that wouldoughta be done by our side. Probably you just let yoself workin’ together with us then we gon’ make sure we bringin’ whut we wannta you to gettin’ ‘Em all the time.

   Like

 5. Juliet says:

  I was waiting for this form of matter. Thank you very much
  for the location.

  Like

  1. I Gotcha what yu sayin’ ! Thank you too n please always be there waitin’ for more updates ! cause we currently working hard tryna bring what we all wannta get ! WELCOME Julieth

   Like

 6. appeal says:

  I do not eᴠen know how I ended up here, but I
  thought this post was good. I ⅾon’t know who you
  are but definitely you’re going to a famous blogger if you ɑre not alгeady ;
  ) Cheers!

  Like

  1. THANK YA SO MUCHIE FRIEND WE ALWAYS TOGETHA

   Like

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s