TOP 10 YA BEST POP HITS SONGS ZILIZO SIKILIZWA SANA KUANZIA MWAKA 2016 HADI 2017

Hakika mwaka 2016 ulikua ni kati ya mwaka bora wa muziki wa POP na mwanzo mwa mwaka 2017 hadi kufikia march bado baadhi ya nyimbo hazijatoka maskioni mwa Watu na kupigwa kwa baadhi ya kumbi kubwa za starehe. Muziki wa POP umetengeneza historia mpya na kuvunjaa baadhi ya rekodi zilizo wekwaa ndani ya mabara ya Europe,America na Afrika sasa hii nikati ya orodha ya nyimbo kumi bora kama ifuatavyoo;#10 

Justin Timberlake ~ Can’t stop the feeling

Ni nyimbo ya Justin Timberlake muimbaji kutoka marekani . Hii ngoma imeshika nafasi ya kumi na kudownloadiwa ndani ya wiki moja na watu zaidi ya 379000.#9
Rihanna ft. Drake ~ Work

Msanii: Rihanna ft. drake

Album: Anti
Hii ni moja ya ngoma yake inayopatikana katika album ya Anti iliyoachiwa January 27,2016. Moja Kati ya nyimbo iliyo pata viewers wengi kwa wiki kufikia idadi ya 2.056 million streams.#8 

Justin Bieber ~Love Yourself

Justin Bieber kashika nafasi ya 8 na ngoma yake ya Love Yourself inayopatikana katika album yake ya What do you mean. Love yourself imeingiza jumla ya $ 1.14 million kwa mauzo ya nyimbo hio.#7

The chainsmokers~ Closer

 Ni moja Kati ya nyimbo za POP nzuri Sana ambayo haichoshi kusikiliza na imeshika nafasi ya 7 na idadi ya mauzo ni $ 1.15 million.#6

Zara Larsson ~ Lush life

Ni mwana dada mwenye umri wa miaka 19 mzaliwa wa Sweden. Anashikilia nafasi ya 6 na kutamba na vibao kama Never forget you, Lush life na Ain’t my fault vilivyo achiwa 2017. Lush life imesimama ndani ya wiki 13 katika chart za UK na kuingiza jumla ya mapato $ 1.28 million mwaka 2016.#5

Calvin Harris ft Rihanna ~ This is what you came for

 Hii tunaweza kuita Golden Collaborators Kati ya Calvin Harris na Rihanna kujumuika pamoja na kutuletea kibao cha This what you came for.Japo kuwa ilikua inashikilia nafasi ya 5 kwa jumla ya mauzo ya $ 1.28 million ndani ya mwaka 2016.#4

Mike Posner ~ Took a pill in Ibiza

Ni moja Kati ya ngoma bora ya kurudi kwa Mike Posner’s. Imemaliza wiki 4 Kati ya mwezi March & April na ni nyimbo ya 4 Biggest tune of the year, jumla ya mauzo ni $ 1.38 million.#3

Sia’s ~ Cheap Thrills

 Hii ni moja Kati hits song ya muziki wa POP ambayo imeshika nafasi ya 3 baada ya kukaa ndani ya wiki 38 ndani ya Top 40 za UK lakini kukosa nafasi ya kwanza. Inawezekana kwa hali yoyote kwa kushika nafasi ya Tatu bora ya mwaka 2016 na ikiwa na idadi ya mauzo kwa ujumla $ 1.46 million.#2

Lukas Graham’s ~ 7 year old

 Nafasi ya pili imefanikiwa kushikwa na Lukas Graham 7 year. Kijana huyu ambaye yupo katika bend ya The Danish band ngoma yake imesimama namba moja ndani ya muda wa wiki 5 mfululizo katika chart za UK na kumaliza mwaka kwa mauzo $ 1.49 million.#1

Drake ft wizkid & Kyla ~ One Dance

 One Dance ya Drake ni moja Kati ya muziki wa POP iliyo imbwa na rapper huyo huku akiwa kamshirikisha Star boy Wizkid na Kyla. Imeshika nafasi ya Kwanza na kushika Kati ya idadi kubwa ya mauzo hadi kufikia $ 1.95 million, kuhifadhi (download) na Kustreams zaidi ya 142 million.

Advertisements

Comments

One comment on “TOP 10 YA BEST POP HITS SONGS ZILIZO SIKILIZWA SANA KUANZIA MWAKA 2016 HADI 2017”
 1. index says:

  Hello tһere! I could have sѡorn I’ve visiteɗ thiѕ web site before
  but after looking at a few of the posts I realized it’ѕ
  new to me. Nonetheless, I’m certaіnly ⲣleased I discovereɗ it and
  I’ll bе bookmarking it and checking back regularly!

  Like

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s