JINSI YA KUFORCE AU KULAZIMISHA SMARTPHONE YAKO KUTUMIA 2G,  3G Au 4G PEKEE. (Window pnones& Android phones) 

 Smarphone ni simu yenye uwezo mkubwa kiasi cha kufanya baadhi ya kazi za kompyuta. 

Internet ni kitu cha muhimu sana na ambacho karibu watumiaji wote wa smartphones hukizingatia kwanza. Lakini kuna baadhi ya watumiaji wa smartphones wamekuwa wakikubwa na matatizo ya simu zao kutomuwa na mtandao wa internet ambao haueleweki mara 2g mara 3g,  4g  pasipo ruhusa ya mtumiaji. 

UNAJUA KWA NINI HALI HII HUTOKEA???!!.  Frequencies za mtandao hubadilishana kutokana na matumizi ya internet kwenye eneo husika, hivyo suala la smartphone kujichagulia mtandao yenyewe hutegemeana frequencies za mtandao upi unaokuwa na nguvu ndani ya muda husika. 

Kama frequencies za 2g,  3g  au  4g  Zitakuwa na nguvu basi smartphone yako itakachagua mtandao wa kutumia yenyewe. 

KAMA SMARTPHONE YAKO INAJICHAGULIA  2G, 3G, AU 4G BILA WEWE KUPENDA BASI FANYA YAFUATAYO 

Kama unatumia smartphone ya >>>>>>>>>

#ANDROID 

FANYA HIVI KIURAHISI:

 1. NENDA SEHEMU YA KUANDIKIA NAMBA
 2. BONYEZA >>> *#*#4636#*#*  kama inakataa download application ya Phone testing 
 3. Yatatokea machaguo kadhaa chagua  #Phone information 
 4. Shuka chini kabisa mpaka mpaka sehemu iliyoandikwa  Set preferred network type gusa chini yake utaona machaguo ya mtandao yenye kumanisha aina ya mtandao wa internet. chagua >>>>>>>>


## ZINGATIA:

Njia hii inafanya kazi kwenye simu nyingi za android lakini baadhi ya smartphones kama Samsung  inakataa.  Hivyo kama una simu ya jinsi hii na unatumia Android fanya rahisi ifuatavyo >>>>>>>>

 1. Nenda kwenye Settings za simu
 2. Angalia kipengele cha Network
 3. Chagua Mobile network
 4. Bofya Network mode
 5. Yatatokea machaguo ya mitandao ya internet kulingana na uwezo wa simu yako yaani >>> 2G,  3G, na 4G. 

#KAMA UNATUMIA  SMARTPHONE INAYOTUMIA WINDOW >>>>>>>>>>

FANYA RAHISI IFUATAVYO >>>

 1. Nenda sehemu ya kupigia simu 
 2. Bonyeza ##3282 au  ##3282#
 3. Bofya kwenye kwenye [] vidoti 3
 4. Kisha chagua mtandao unaotaka kufanya simu yako iutumie muda wote yaani >>>> 2G,  3G, au 4G.

  #Vilevile usikose Codes namba za tricks zenye shortcuts mbalimbali kwa ajiri ya smartphone yako 

  TAFADHALI TUAMBIE SMARTPHONE YAKO INA KASI GANI KATI YA HIZI MBILI >>>>

  KAMA HUJAELEWA AU KUNA SEHEMU INAKUTATIZA TAFADHALI TUJULISHE.  Kwa kutoa maswali na maoni. 

  Maana siku zote 

  wewe ni sehemu ya www.Nijuzepedia.com

  Toa maoni yako na share na wenzio

   

  Advertisements

  Comments

  2 comments on “JINSI YA KUFORCE AU KULAZIMISHA SMARTPHONE YAKO KUTUMIA 2G,  3G Au 4G PEKEE. (Window pnones& Android phones) ”
  1. john malugu says:

   mimi eneo nililopo network ni2G sas nitafanyaje ili nipate 3G maana hii inaboa sana

   Like

   1. Ni ngumu ndugu hasa kwa simu za zinazotumia mfumo wa Android… Lakini Ungekuwa na unatumia simu ya #Symbian ingekuwa rahisi sana …. (usijali )
    Tafuta Line ya Halotel maana ina 3G maeneo mengi sana (zaidi ya asilimia 95% nchini Tanzania) Tafadhali fanya hivyo na urudishe taarifa .. Asante !

    Like

  Leave Comment / Toa Maoni

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

  Connecting to %s