TOP 5 VINYWAJI BARIDI MAARUFU NA BORA VINAVYO ZALISHWA TANZANIA. 

BAADA ya kazi na mazoezi mwili huitaja kupumzika na kitu pekee ambacho uburudisha mwili ukiwa kwenye hari hii ni vinywaji baridi.Vinywaji hivi vimekuwa maarufu sana kutokana na ongezeko kubwa sana la uzalishaji bidhaa hizi.

Kutokana na hilo je umeshawai kujiuliza vinywaji gani ni maarufu na bora vinavyofaa kwa afya yako?Basi fatilia orodha hii kujua vinywaji baridu maarufu na bora ambavyo watanzania wanajivunia kuzalisha. #5

TWIST


Mzalishaji: Sayona drinks Limited

Ladha: 5+

Mmiliki: Motisun group

Mkoa: Dar es salaam

Kampuni ilianzishwa: 2014
TWIST ni bidhaa bora na maarufu sana inayozalishwa na kiwanda cha sayona drink limited kilichopo dar es salaam .Kinywaji hiki kikiwa na ladha nyingi kama vile

  • Twist orange 
  • Twist lemon
  • Twist cola
  • Twist embe  n. k

Inapelekea bidhaa hii kupendwa sana na pia mchanganyiko mzuri walio nao ndo unafanya kinywaji hiki kuwa bora na maarufu sana Tanzania hasa ladha ya Twist lemon.

baanajajahahshshshsshsshsgsgssgshshhshsshshshfffffgggghhkgggjjjjjjjjjjhjjhhjj

#4

SIPPY SODA


Mzalishaji: Savannah group companies

Ladha:  5+

Mkoa:  Dar es salaam

Kampuni ilianzishwa: 2008

Wafanyakazi: 100+

Hiki ni kinywaji baridi bora sana kinachozalishwa na kampuni ya Savannah group companie.  Toka kuanza kuzalishwa january 2008 kinywaji hiki kinazidi kupata umaarufu na kusambaa maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Hiki ni kinywaji bora na maarufu nchini Tanzania. 

hshsjjsjssjshshsgggggghhhhhhhhhhhhhghhhhhhhhhhhhhhhhhhhgcddfffvvbhhhhhhhhhhbbbbbhhh

#3

JAMBO


Mzalishaji: Jambo food production 

Ladha: 5+

Mkoa: Shinyanga

Mwaka wa uzalishaji: 2013

Kinywaji hiki kikiwa na ladha tofauti kilianza kuzalishwa mwaka 2013 mara baada ya mafanikio kampuni ya Jambo iliyoyapata. Tokea hapo bidhaa inakua kwa asilimia 15% kila mwaka.

Jambo ni kinywaji bora sana nchini Tanzania,  waulize wakazi wa mikoa ya kanda ya ziwa na maeneo ya jirani wakwambie kuhusu bidhaa hii. kizuri zaidi kampuni ina mpango wa kusambaza bidhaa zake sehemu nyingi ndani na nje ya Tanzania.

bsjsshsbdbdbdbdbdbddjdndjdgdegsgheehheheheehehheehheheheheehvggggggggggggggggggghhhg

#2.

MO JUICE


Mzalishaji: Melt food production

Ladha: 10+

Mkoa: Dar es salaam& Mwanza

Kampuni ilianzishwa: 1997

Wafanyakazi: 1,100 +

Soko: Afrika Mashariki

Hiki ni kinywaji maarufu sana nchini Tanzania.  Huku kikizalishwa na kampuni makini, na tajiri ya Melt food production.  Kiwanda kinachozalisha bidhaa hii kipo kwenye viwanda vitano vikubwa zaidi nchini Tanzania. 

Asilimia kubwa ya watumiaji wa vinjwaji baridi nchini Tanzania wanaijua sana bidhaa hii bora. 

hsgssgshhsbsjaanajnawnannasnanannssnnsnsnsnsnsnnsnsnsnsnsnsnsnsnsnsnssnsbsnsnsnsnsnsns

#1.

AZAM JUICE


Mzalishaji: Bakhresa food production

Ladha: 10+

Mkoa: Dar es salaam

Kampuni ilianzishwa: 1970

Wafanyakazi: 800+

Soko: Afrika mashariki

Hiki ndio kinywaji kinachozalishwa na kampuni kongwe zaidi ya vinjwaji na bidhaa za chakula.  Azam juice ilianza kuzalishwa rasmi mwaka 2011 japo nyuma ilikuwepo kabla. Karibia kila Mtanzania anajua uwepo wa bidhaa hii maarufu na bora sana nchini Tanzania. 

Azam na Mo  ndio bidhaa za vinwaji baridi zenye ushindani mkubwa zaidi nchini Tanzania kuliko zingine. 

KUMBUKA >>>>

#Hutakiwi kunywa zaidi ya soda 3 kwa wiki. Hii ni kwa mujibu wa AMERICAN HEART ASSOCIATION.


#Mtanzania nunua bidhaa za Tanzania kwa faida ya Tanzania. 

Wewe ni sehemu ya www.Nijuzepedia.com

Toa maoni yako na share na mwenzio

Advertisements

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s