TOP 5 VIATU MAARUFU VISIVYO POTEZA THAMANI SIKU ZOTE. 

Tukiongelea muonekano tunaongelea mavazi na tukiongelea mavazi tunaongelea nguo na viatu.Viatu vina nafasi kubwa sana ya kutengeneza na pia kuharibu muonekano wa mtu.

Je kutokana na hilo umeshajiuliza ni viatu gani bora na ambavyo avishuki dhamani  ili kuepuka kununua viatu vilivyopitwa na wakati na ambavyo vinaweza kuaribu muonekano wako.Fatilia hii orodha kujua. 

#5

Air Jordan


Mzalishaji: Nike Inc

Nchi: Marekani

Ilianza kuzalishwa: 1985

Mapato: $ billion 1 kwa mwaka

Soko:  Dunia nzima

Air Jordan ni viatu bora vinavyo tengenezwa na kampuni ya nike iliyopo marekani.Huku vikipewa jina la mcheza kikapu maarufu duniani Michael Jordan viatu hivi vipo kwenye chati toka utambulisho wako uliofanyaka 1985.Ubunifu wa hari ya juu uliotumika kutengeneza nembo yake ndo umefanya viatu hivi kuendelea kua maarufu sana.

#4

Air Force


Mzalishaji: Nike Inc

Nchi: Marekani

Ilianza kuzalishwa: 1982

Mapato: $ million 800 kwa mwaka

Soko: Dunia nzima

Kiatu hiki ambacho kimechukua jina la ndege ya Raisi wa marekani kimepata umaarufu sana na kuwa na hadhi ya juu toka kilipo tambulishwa mwaka 1986.Huku kikipatikana katika size tofauti tofauti kiatu hiki kimukua  kikizalishwa na kupatikana pia katika rangi tofauti tofauti zaidi ya 1700.

#3

Travolta

Mzalishaji: Kampuni zaidi ya 10

Nchi:  Marekani, Mexico, Italia.

 
Ilianza kuzalishwa: 1980s

Matapo:  $ billion 3 kwa mwaka

Soko: Dunia nzima

Viatu hivi ambavyo vinazalishwa na makampuni zaidi ya 20 duniani ni viatu bora sana.Viatu hivi ambavyo uvaliwa sana na watu maarufu kwa jina la cowboy vimekua viatu maarufu na vya dhamani kutokana na matoleo mengi sana ambayo uzalishwa na makampuni hayo.


#2

All Star

Mzalishaji: Converse Inc

Nchi: Marekani

Ilianza kuzalishwa: 1917

Mapato: $ million 243 kwa mwaka

Soko: Dunia nzima

All Star vimekuwa viatu bora sana toka vilipo tambulishwa 1917 huku vikiitwa kwa jina la Non -Skid.Viatu hivi vilijizolea umaarufu baada ya kufanyiwa promo na mchezaji wa kikapu wa Marekani Chrles”Chuck”Taylor mwaka 1921 na kufanya kuwa viatu vyenye dhamani sana.

#1

Timberland

Mzalishaji: Timbaland company

Nchi: Marekani

Ilianza kuzalishwa: 1973

Mapato: $ billion 1 kwa mwaka

Soko: Dunia nzima

 
Timberland ambavyo ujulikana kwa jina maarufu la America Boot imeshika namba moja katika orodha hii.Ukweli ni kwamba timberland ni viatu ambavyo avitakuja kushuka thamani kutokana na ubora wa viatu na ubunifu wa hari ya juu ulio tumika kutengeneza viatu hivi. 

Sifa kubwa  ya kiatu hiki, Hakichagui nguo,  rangi,  jinsia wala hadhi ya mtu. (humpendeza kila anayekivaa). 

Mwaka 1973 baada ya viatu hivi kutambulishwa vilijizolea umaarufu mkubwa sana mpaka ikapelekea jina la kampuni pia kuitwa Timberland.Huku kampuni hii ikiwa na matawi 147  katika nchi mbalibali duniani.Wewe ni sehemu ya www.Nijuzepedia.com

Toa maoni na share na mwenzio

Advertisements

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s