TOP 5 VITABU BORA SANA VYA MATHEMATICS VINAVYOFAA KWA ADVANCED LEVEL. 

Mwanafunzi wa Advanced level (form 5&6) unayesoma Mathematics huenda una maswali yasiyo na majibu kuhusu vitabu vya mathematics vinavyokufaa… 

Je unajua kama mwanafunzi unaye soma advanced mathematics vitabu vipi ni bora na vinafaa kwa ajiri yako?

Kama hujui usijali maana orodha hii itakujulisha vitabu ambavyo vinazingatia mtaala wetu ili kukupa matokeo mazuri katika mtihani wako wa mwisho yani mtihani wa taifa.

  Kutokana na ushahidi na mafanikiao ya waliotumia vitabu hivi,   Ili kupata matokeo mazuri una shauriwa kusoma angalau vitabu viwili kutoka katika hii orodha.

hhshshshshshshsshsbsnsbsbsbsbbsbssbsbsbsbsnsnnssbshsgsgshshshshsshhsshsbababsbabbs

#5.

ADVANCED MATHEMATICS FOR ADVANCE SECONDARY SCHOOL

By Septine I Sillem

Kitabu hiki ni kizuri sana na ndo kitabu pekee kilicho andikwa na kuchapishwa hapa nchini katika hii orodha.Ni kitabu kilicho zingatia mtaala na kurahisisha njia za kufanya maswali ili kumuwezesha mwanafunzi kuelewa haraka.

Kama wewe ni mwanafunzi unaye soma advanced mathematics usiangaike tena tafuta kopi yako ya kitabu iki kwa mafanikio yako kwenye hesabu.

hajahaabababbssbbssbsvvbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbnbbnnnnnnnnnnnnnnnnnnbbn

#4

ADVANCED LEVEL PURE MATHEMATICS

By C J Tranter​

I

Sifa mojawapo ya kitabu hiki ndo kitabu chenye majaribio magumu ambapo umjenga wanafunzi kukabiliana na maswali yene mitego kwenye mtihani.

Kitabu hiki watu wengi hukiita tranter ndo kitabu ambacho wanafunzi wengi ukikimbia kutokana na majaribio yake maguu.Sasa sikia kitabu hiki ni kizuri sana kwa sababu utajifunza mitego mbalimbali ambayo itakusadia kukabiriana na maswali katika mitihani yako hasa mitahani wa taifa .Kama mwanafunzi unaye itaji mafanikio usisikilize maneno ya watu na kukwepa kitabu hiki.

hshshshshshssshshhsahbsbssbabababbabaajajwhhawhwhwhnwwnnwnwnwnwqnnqnqnqqnqnqnnqnqnqnqnq

#3

CORE MATHS FOR ADVANCED LEVEL

By S.Chandler & L.Bostock​

S chandler ni mwandishi mzuri sana wa vitabu vya hesabu ameandika vitabu kama vile

  • Further pure mathematics na
  • Applied mathematics

Kutokana na uwandishi wake mzuri ametuletea kitabu bora ambacho kina mada zote ambazo zipo kwenye mtaala na majaribio mengi ambayo yatakuwezesha kufanya maswali yasio  pungua 1000.Tafuta kitabu hiki kwa maandalizi bora ya mitihani yako.

hahagaagahahahahhqhahqhqhahahaahahahahahaahahahhaahahahahahahahahahahahahahahahhahahaahhahq

#2.

S CHAND’S MATHEMATICS FOR CLASS XI 

By H.K.Dass & Dr.Rama Verma​Ukiongelea vitabu bora vya hesabu huwezi kusahau kitabu cha Chand. 

Hiki ni moja ya kitabu bora sana kilicho andikwa na kuchapishwa india .Ni kitabu kizuri sana chenye mada zote za kwenye mtaala ,kina eleweka kwa urahisi sana na chenye maswali mengi sana.

Usikose kitabu hiki sababu nikwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa kukutana na maswali kutoka katika kitabu hiki kwenye mtihani wako wa mwisho yani mtihani wa taifa

hsjshsshshshshsgshshshshshshsbsbsbssbbwbabsabhhahahwhahwbaababwbwbqbqbwbbwwbbwwbwbwhq

#1

PURE MATHEMATICS 1 AND 2

By J.K.Backhouse & S.P.T Houldworth​

Vitabu hivi viwili vina ushirikiano mkubwa sana ambapo ili ukamilishe mada zote lazima ununu vitabu vyote viwili ndo vitabu vinavyo shika namba moja katika orodha hio.Ndio ndo vitabu bora sana na vinavyofaa katika huu mtaala wetu sababu vina mada zote ambazo zimeelezewa kiundani zaida na ndo vitabu ambavyo kila mwaka vinatoa maswili kwenye mtihani wa taifa.

Usichukulia kitoto toto hivi vitabu ndo vitabu bora sana hapa Tanzania kutokana na kuendana sana na mtaala wa elimu vitumie ipasavyo ujihakikishie mafanikio katika somo la Mathematics kwa A level.

bahagabahananajajajwjwjwjwjwjwjwwhhehwwhh

USISAHAU:

UWEZO WA KUJIBU MASWALI NA KUFAULU MITIHIANI YA MATHEMATICS HUZINGATIA >>>>>

  • Vitabu unavyotumia.
  • Mazoezi ya mara kwa mara.
  • Kusoma mada nyingi . 

Wewe ni sehemu ya www.nijuzepedia.com 

Toa maoni yako na share na wenzio. 

Advertisements

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s