TOP 10 MAJI BORA, SAFI NA SALAMA TANZANIA. 

Maji ni kmiiminika chenye matumizi makubwa sana katika maisha ya kila siku ya binadamu,  mimea, wanyama,  na kwa kila kiumbe hai chochote kile kilichopo duniani.  

Kwa upande wa binadamu maji yana umuhimu ndani na nje ya mwili.  Yanatibu magonjwamengi sana.&n

Tanzania ni moja ya nchi iliyojaliwa maji mengi na mazuri sana vile vile zipo kampuni mbalimbali zinazotoa huduma ya kuwauzia watu maji safi na salama kabisa.

Orodha hii inazingatia umaarufu, matumizi  pamoja na uhalisia wa nnabasbsnsksksjsnsnsnsnssnsnsnsnsnsnnssnsn

#10

MAWENZI pure drinking water 

​Bidhaa hii ya maji ni bora sana naamini hasa kwa baadhi wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa jirani watakuwa mashahidi juu ya hilo. Uhalisia na imani ya watumiaji ya bidhaa hii hufanya iwe bora nchini Tanzania.

#9

SAYONA pure drinking water

​Sayona pure drinking water ni bidhaa bora inayowafikia wateja asikudanganye mtu. Ikiwa bidhaa hii ni mwendelezo wa bidhaa nzuri za Sayona company maji haya yana bei ndogo inayokidhi mahitaji ya mteja.

Hukata kiu,  bei ndogo,  masafi na salama.

nmsjshsbsbbdbnbdbdbdbdbdbdbdbdbd#


#8


MAISHA pure drinking water

Maisha pure drinking water ni moja ya bidhaa bora sana hususani unapoongelea suala la bidhaa za maji yanayoaminiwa na masafi kwa afya ya mtumiaji kwa wale waliowahi kutumia bidhaa hii watakubaliana  kuwa bidhaa hii ni bora licha ya mapungufu na uchache wa maeneo bidhaa hii ilikosambaa.

Licha ya hayo bidhaa hii ni bora sana.


#7

JAMBO pure drinking water


Bidhaa  hii ikiwa inatengenezwa na kuzalishwa na kampuni iliyo fanikiwa nchini Tanzania ya Jambo. Maji haya ni mazuri kiasi cha kukupa thamani halisi ya pesa yako na kukuacha ukiwa unajisikia vizuri.

Tatizo dogo kuhusu bidhaa hii ni kwamba kampuni ya Jambo haijahakikisha upatikanaji wa bidhaa hii maeneo mengi

Licha ya hili Maji ya Jambo ni bora.

#6.

UHAI drinking water

Hii ni bidhaa bora sana ya bakhresa. Ni maji maarufu sana nchini Tanzania na yenye kuaminiwa na watu wengi huku Ingredients zilizopo katika kinywaji hiki zikiwa ziko katika kiwango sahihi kabisa.

Kampuni inayozalisha bidhaa hii imeendelea kuhakikisha inazidi kuwafikia watu wengi kadri iwezekanavyo katika maeneo mbali mbali nchini Tanzania

#5

MASAFI drinking water.

<span class="edit-content"

Hii ni moja ya bidhaa bora sana za maji nchini Tanzania yenye gharama nafuu na   inayozidi kujipatia umaarufu. Bidhaa hii imekuwa ikijitahidi sana kama moja ya bidhaa zenye wateja wengi hasa jijini Dar es salaam.

Bidhaa hii inakubwa na changamoto ndogo ya kutokuenea maeneo mengi ya nchi. Lakini hili ni suala la muda na mipango.  Bidhaa hii ni bora watu waliowahi kuitumia watakubaliana na hili

hsjssghdhdndndndbdbdhdhdhdhdhdhdhdhdhdhdhddhdhdhdhdhdhdhdhdhdhddhdhdhdhdhdhdhdhdhdhdh

#4.

DASANI pure drinking water

Edit




Dasani ikiwa ni bidhaaa ya kimataifa kutoka kampuni iliyofanikiwa sana duniani kampuni ya Cocacola. Bidhaa hii ilianza kuzalishwa na kampuni ya Cocacola mara baada ya mafanikio makubwa ya bidhaa ya maji waliyokuwa wanazalisha kabla. Dasani ni bidhaa inayopatikana maeneo mengi ya nchi ya Tanzania na kiukweli hili halina ubishi kwamba bidhaa hii inaaminiwa na watumiaji wake katika maeneo mbalimbali.

#3

AFYA pure drinking water

Maji safi yenye gharama nafuu ambayo yanazidi kujipatia umaarufu.Maji ya afya yanaaminiwa na wateja wake kwa kuwa na gharama ndogo huku yakitoa thamani ya maji mwilini. Afya ni maji bora sana.
Huzalishwa Temeke Dar es salaam lakini kiwanda kina malengo hadi ya kuhakikisha bidhaa hii inawafikia walio katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. 





#2.

DEW DROP pure drinking water


Hii ni bidhaa ya maji ambayo bora sana kuliko unavyoweza kufikiri. Naomba usije ukahofu ukadhani ni yale maji  ya “dew” yaliyodaiwa kutoka nchini Nigeria.  La hasha Hii ni bidhaa inazalishwa kutoka vyanzo halisi na safi kabisa mkoani Rukwa magharibi mwa Tanzania.


“DEW DROP”Ni maji bora sana wakazi wa Sumbawanga, Kigoma,  Tabora,  Katavi,  Shinyanga,  Mbeya,  Na baadhi ya maeneo ya Bukoba watakuwa wanajua ninachokiungumzia hapa.

Yakiwa na Ingredients zilizo katika mpangilio mzuri  yaani >>>>>…..

 1. Calcium ======== 1.0 mg/liter
 2. Chloride ======== 2.5 mg/liter
 3. Flouride ======== 0.2 mg/liter
 4. Potassium ====== 0.5 mg/liter
 5. Sodium  ======== 4.0 mg/liter
 6. PH      ========== 7.0 mg/liter


Ingredients zake zinatosha kukwambia maji haya ni matamu,  halisi bora na salama.  Dew drops ni moja ya bidhaa bora za maji nchini Tanzania. 

hshsgdhddhdhdhdhdhdbdbdbdhdhdhdbdhdhdgdgdhghhjjjgvvvvhjjnnjgghhhhhhhhhhhhhggggggggghhhhgggghhhhh

#1.

KILIMANJARO pure drinking water.


Hayupo wa kubisha kwa hili.  kilimajaro drinking water ni maji bora sana nchini Tanzania yakiwa yanapatikana toka kwenye vyanzo vya mlima mrefu zaidi barani Afrika

Bidhaa hii imeendelea kuwepo na kuaminiwa na watu wengi huku kitu kingine kinachoifanya bidhaa hii kuonekana kuwa ni bora ni kwamba bidhaa hii inapatikana karibu maeneo yote ya nchi ya Tanzania

Kilimanjaro ingredients zake zinasadiki yaliyomo katika bidhaaa ya maji hii maarufu sana nchini Tanzania.

Maji haya yanafunga orodha hii

ZINGATIA:

#Maji yote yanayozalishwa nchini Tanzania yote ni bora sana.  Orodha hii imetumia vigezo vya >>>

 1. Umaarufu wa bidhaa husika.
 2. Asili ya chanzo cha maj. 
 3. Ueneaji na usambazaji wa bidhaa yenyewe. 

#KUNYWA MAJI MENGI SANA KWA FAIDA YA MWILI WAKO NA AFYA KWA UJUMLA  MAANA MAJI NI DAWA. 


Unaweza pia kusoma  Makala mbalimbali za afya >>>>>

BOFYA #HAPA KUPATA MAKALA ZA AFYA

WEWE NI SEHEMU YA 


www.nijuzepedia.com

 Toa maoni yako kuhusu orodha hii na share na wenzako. 

Advertisements

Comments

2 comments on “TOP 10 MAJI BORA, SAFI NA SALAMA TANZANIA. ”
 1. james joseph says:

  Mim ni mwanafunz wa chuo cha maji katika fani ya maabara ya ubora wa maji .Pia natarajia kuhitimu mwaka huu mwezi wa saba ningependa kuitumia fani hii kwenye kiwanda kimoja wapo. Namba zangu za simu ni 0659666296

  Liked by 1 person

  1. Shukrani kwa maoni yako …Tulikutumia email iliyokuwa na maelezo kamili juu ya ombi lako tafadhali angalia kwenye email yako na uendelee kufuatilia updates zetu.

   Sender: A.Lomeo
   From: Nijuzepedia.com

   Like

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s