Mitandao 6 bora na maarufu ya simu za mkononi Tanzania

Historia ya mitandao ya simu za mkononiTanzania imeanzia mara tu pale simu za mikononi zilipo anza kuwa na matumizi makubwa katika nchi hii iliyopo Afrika mashariki.Naamini unakumbuka buzz,celtel na vodacom  mitandao ya kwanza kabisa kutoa huduma nchini Tanzania.Simu za mkononi ni moja ya vifaa  vinavyotumika sana katika dunia ya leo.Inaaminika zaidi ya matumizi ya simu bilioni 8  hufanyika nchini Marekani pekee kwa saa 24.Hii inadhihirisha hili kwamba simu ndio kifaa kinachotumika zaidi dunuani.
Ubora wa  mtandao huzingatia huduma nzuri ,wateja ,ueneaji wake,internet yenye speed,uvumbuzi wa mara kwa mara wa  huduma zenye manufaa kwa wateja wake. kwa hilo mitandao ifuatayo ni bora na maarufu nchini Tanzania kutokana na huduma na ueneaji wake.

6.SMART

smart
Smart Tanzania

Smart Tanzania ni mtando mpya ambao haujaenea sana lakini kwa muda mfupi umejipatia wateja kutokana na na huduma nzuri ikiwemo ile ya internet yenye kasi ya 4G .mtando huu huanganisha watu wengi  hasa wakazi wa jiji la Dar es salaam.5.ZANTEL

zantel-logo
Zantel

Zanzibar Telicom Limited maarufu kama Zantel  ni mtandao bora  unaopatikana  nchini Tanzania ,ukiwa na wateja kila kona ya nchi zantel huaminiwa na watu kwa mtandao wa internet wenye kasi kwa kila simu iwe feature au smartphone, vifurushi vyenye kukidhi mahitaji ya kila mteja unaufanya mtandao huu kuwa bora na maarufu.4.HALOTEL

​Ukiwa umefunguliwa ramsi oktoba 2015 Halotel ni mtandao bora sana ambao unakua kwa kasi ya ajabu huku ukizidi kupata wateja wapya kila siku nchini Tanzania.Umeenea kwa asilimia 90 ya eneo la nchi ,na ni moja ya mitandao miwili pekee pamoja na Vodacom nchini Tanzania yenye kutoa huduma ya 3G kwa kila mji huduma zake zinapopatikana wakati huo huo mtandao wa halotel ukienda mbali mpaka kutoa 3g hadi vijijini au miji midogo.Mtandao huu unavyo vifurushi bora sana vya kimataifa,kitaifa ,kupiga simu,kutuma ujumbe kwa gharama nafuu.3.AIRTEL

Ni mtandao bora sana Tanzania na nje ya Tanzania na hakuna wa kukataa hili,Ukiwa ndio mtandao ulioenea kuliko mtandao mwingine wowote nchini Tanzania ,Airtel hupatikana sehemu usizofikiria,polini,vijijini,mijini(Jijini mwanza) kote huko ikiwa na huduma bora ya kutuma pesa maarufu kama Airtel money,vifurushi mbalimbali vya kukidhi mahitaji ya kimitandao hutosha kufanya Airtel kuwa maarufu na bora nchini Tanzania.2.TIGO 

TiGo.jpg

Tigo Tanzania

Huu ni mtandao unaoongoza kwa ubunifu wa vitu na huduma mbalimbali na mtandao wa kwanza kuanzisha huduma ya mtandao wa  wenye kasi zaidi wa   L.T.E 4G  nchini Tanzania.Ukiwa na vifurushi bora na huduma nzuri kwa wateja wake,Tigo  mpaka  umetajwa kuwa mtandao wa simu wa pili kwa kuwa na wateja wengi nchini Tanzania.kwa kigezo hiki na vingine Tigo ni mtandao mkubwa,bora na maarufu nchini Tanzania1.VODACOM

vodacom

Vodacom Tanzania

Huu ndio mtandao wenye wateja na watumiaji wengi zaidi nchini Tanzania,ukiwa umesambaa na kuwafikia watanzania wa kila rika mijini na vijijini.Vodacom imekuwa na utawala huu toka zamani hili huchangiwa na huduma nzuri na nafuu zinazowalizisha wateja wao huku ukiwa ni miongoni mwa  mitandao yenye internet yenye kasi zaidi nchini Tanzania ya 4G.Huduma ya kutuma na kupokea pesa ya  ,mtandao huu maarufu kama M-pesa inaamiwa kuwa ndiyo  huduma ya pesa inayotumika zaidi kwenye simu za mkononi nchini Tanzania.Vodacom ni moja ya mitandao bora na maarufu sana nchini Tanzania.

NB:Listi hii  imezingatia umaarufu,wateja ,kasi ya mtandao wa internet,na ueneaji wa mtandao husika.

wewe ni sehemu ya www.NIJUZEPEDIA.COM

TOA MAONI na SHARE NA WENZAKO

Advertisements

Comments

5 comments on “Mitandao 6 bora na maarufu ya simu za mkononi Tanzania”
 1. Crystle says:

  Saved as a favorite, I actually enjoy your blog!

  Like

  1. Thank yu lotta, Hoping you gon’ be our ambassador n tellin’ other bout Us !

   Sender: Nicole Jr.
   From: Nijuzepedia.com

   Like

 2. Cierra says:

  This actually answered my issue, thank you!

  Like

  1. HAHA LOLZ ! I knoe how it testin’ when someone gotten what he was lookina for !but you know wha ?! sometime we shoulda workin’ together so tha we mighta gettin’ more infos to expandin’ our knowledge huh! whatchu sayin’ bout it ?!

   Like

 3. omy sylz says:

  mtandao unaoongoza tz kwa wateja ata malipo mazur kwa wafanya kaz n TIGO na ukitaka kufa ,asikin fanya kazi na mtandao tofaut na tigo naiman shida zitakuuaaaa

  Like

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s