Top 10 Games nzuri na bora za Android

Android ni moja ya mobile operating system inayotumiwa na watu wengi kwa sasa 80% ya  smartphones duniani zinatumia android.Na kama mtu wa games naamini hauko nyuma katika kuunga mkono wanateknolojia wa android wanaokuletea games mpya kila leo. Ni vigumu kutambua games zipi nzuri kati ya mamia ya magemu ya android.Lakini kwa vigezo vya  Mwonekano HD  wa game husika,platform yake,control na ukubwa  husaidia kujua zipi games bora. . Hivyo kama  wewe ni mchezaji wa android games hizi hazitakiwi kukosa kwenye simu au tablet yako

10.

PRO EVOLUTION SOCCER 2012 by KONAMI

pro-evolution-2012-samsung

Licha ya kuwa ni la muda mrefu kidogo lakini game hili limekuwa likizidi kuwapa burudani hasa wapenzi wa magemu ya mpira.Control,mwonekano na urahisi wa kucheza  linapelekea PES 2012 kuingia katika Top 10 ya games bora za android.si kazi rahisi kulifuta ukishalipata  mana ni zuri sana.  ubaya wake kuna ugumu kidogo kulipata mana halipo Google playstore . Ila ni game zuri sana. kulipata  bofya na tafuta pes 2012 android kisha fuata maelekezo.

9.

BUS STIMULATOR 3D by Ovidiu Pop

bus-st-3d

BUS STIMULATOR 3D kama lilivyo jina lake unapocheza game hili linakufanya uhisi unaendesha bus la ukweli ,kwa maana limesukwa na likasukika ,Kwa mb 49 tu game hili linajidhilisha kuwa ni bora.mission nyingi ,mabasi ya kutosha na 3d features zinazokupa uhuru wa kufurahia game hili.Download game hili bure kupitia Google play

8.

NBA 2K14

nba-2k

Bila maneno mengi download game hili bofya na seach nba 2k14 kwa hakika mb 756 utakazotumia kupata game hili hazitokwenda bure wala  hutokataa kuwa game hili ni bora sana ,badala yake utazidi utafurahia mwonekano mzuri sana na control zake  ambazo hukupa burudani ya aina yake ,kizuri zaidi ni la bure na halisumbui kuiinstall.

7.

REAL BOXING

real-boxing

Hii ni moja ya games bora na za bure na HD zinazopatikana kwa urahisi sana .Game hili linao wahusika maarufu , linaonekana vizuri sana na linauhalisia wa kutosha utakao kufanya ujihisi kuwa Mayweather..lidownload leo bure kabisa kupitia Google playstore

6.

DREAM LEAGUE SOCCER 2016

dream_league_soccer_2016

Baada ya mafanikio makubwa mwaka 2014  ya zaidi ya milioni 50 Downloads kwenye google playstore ambayo Dream League Soccer Iliyapata, pamoja na uchanga kwenye ulimwengu wa games  kampuni ya The first games imeendelea kuwaletea gamers wa android vitu vizuri hasa game hili la Dream league soccer 2016 lenye ukubwa wa wastani likiwa na maboresho kadhaa kama sura halisi za wachezaji,online community,kuuza na kununua wachezaji n.k …vitu hivi vimepeelekea game hili kuwa moja ya games ambazo kila mpenzi wa games za android anatamani kuwa nalo.     Download bure kupitiaGoogle playstore

5.

BROTHERS IN ARMS 3

brothers-in-arms-3

Kumekucha !!! Gameloft si kampuni ya games ya kitoto Imekuwa ikizidi kuletea wapenzi wa games burudani katika platforms mbalimbali ikiwemo Android.

Brothers in arms 3 ni game lenye ubora wa hali ya juu sana kiasi kwamba hata watu hawajali ukubwa wa megabits lililonao.shooting,mission nzuri, sound effects, hufanya game hili kuzidi kupendeka na wapenzi wa Android games kila siku.Lidownload leo utakubaliana kuwa ni game lenye hadhi . Download bure kutokaGoogle playstore

4.

ASPHALT 8 AIRBORNE by GAMELOFT

asphalt-8-airborne-game-android-free-download-tips-tricks-hints-description

Game hili shughuli yake sio ndogo zaidi ya milioni 200 downloads na rate ya 4.5  kwenye playstore inatosha kusema game hili ni bora sana ,Naamini kwa aliyecheza atakubaliana na mimi kuwa Asphalt 8 ni game bora sana kuanzia sound effects ,uhalisia ,barabara nzuri na challenges zilizopo ndani ya game hili zinatosha kukushawishi ulidownload. upatikanaji wake ni rahisi sana lipoGoogle playstore.

3.

N.O.V.A 3 Freedom Edition

nova-3

Ni game bora sana kuwahi kutokea katika ulimwengu wa Android lenye ukubwa sahihi unaoashilia yaliyomo kwenye game hili mali ya Gameloft. Ikiwa na rate ya 4.5  downloads  milioni 10 kwa ukubwa wa Gb 1.3 N.O.V.A  3 lazima tuseme ni moja ya game nzuri na bora sana ambalo ni lazima liwe kwenye kila simu au tablet ya mtumiaji wa Android hususani mpenzi wa games.Download leo N.O.V.A 3 Freedom Edition uone raha ya Android games Hupatikana bila malipo yoyote kwenyeGoogle playstore

2.

FIFA 16

fifa-16v-ii

EA SPORTS  Ni kampuni yenye watu makini wanajua wateja wao wanahitaji nini .Hivyo wala sio ajabu kuona FIFA 16 ikiwa kwenye list hii.Control nzuri sana na zilizodizainiwa kwa namna yake,leseni ya ligi na wachezaji,viwanja pamoja na jezi halisi ndio sababu kuu zinazofanya FIFA kuwa game za michezo zinazouza copy nyingi kuliko games zingine.Ijaribu FIFA 16 ujihakikishie jinsi gani FIFA 16 ni game bora sana.kulipata tembeleahapa na kisha seach FIFA 16 Android  au  Nenda Google playstore (game hili linabagua baadhi ya Android version)

1.

FRONTLINE COMMANDO D DAY

frontline-commando

GLUE games Ndiyo kampuni inayotufungia list kwa FRONTLINE COMMSNDO D*DAY kwa hakika si rahisi mtu kubisha kuwa game hili ni zuri na bora kiasi cha kuwa game la kwanza kwenye vifaa vingi vya Android.Ukubwa wa wastani, mwonekano HD kiasi cha kufananishwa na games za Playstatio 3 na Xbox 360.Si jambo la mchezo Game hili ni zuri sana.Linapatikana bure kabisa download leo kupitiaGoogle playstore na ufurahie High Definition ya game hili kwenye kifaa chako cha Android.

 

ZINGATIA:

List hii inaweza kubadilika kutokana na ushindani uliopo katika games developing na vile vile ni muhimu.

 

 

 

 

 

 

 

© Powered by  GAMES ARENA

 

 

 

Advertisements

Comments

25 comments on “Top 10 Games nzuri na bora za Android”
 1. Vowkinna says:

  Fantastic goods from you, man. I’ve understand your stuff previous to and you’re just extremely excellent. I actually like what you have acquired here, really like what you’re saying and the way in which you say it. You make it entertaining and you still take care of to keep it smart. I cant wait to read much more from you. This is actually a terrific web site.
  http://noreferer.win/

  http://www.seap.usv.ro/ct/TurismInBucovina/ro/forum/viewtopic.php?p=226350#226350

  Like

  1. That’s whyna I always lookina for people like you dawg ! ya know what I wouldaoughta working with you as long you gon’ let me do it ! Thank Ya homie!

   Like

  2. Ya know whu man ?! I gotcha whatcha sayin’ !

   Liked by 1 person

 2. Vowkinna says:

  Hmmm, yup no uncertainty Google is finest in favor of blogging however now word press is also fastidious as a blogging since its SEO is nice defined already.
  http://www.sexybang.top/gal/6296.html
  http://elind.pw/
  http://www.sexybang.top/gal/7582.html
  http://eae2.co.za/Forumbb/viewtopic.php?f=10&t=130355

  Like

 3. Vowkinna says:

  These all YouTube gaming video tutorials are actually in pleasant quality, I watched out all these along with my friends.
  http://www.sexybang.top/gal/2598.html
  http://www.dartsforum.at/viewtopic.php?f=11&t=733946
  https://rexuiz.itch.io/rexuiz-fps
  http://www.notbred.com/

  Like

Leave Comment / Toa Maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s